Usimuonee huruma Mwanamke

Usimuonee huruma Mwanamke

Maandishi wa huu uzi nahisi ni mmojawapo wa wale wanaoendesha kampeni ya KATAA NDOA kama wanashabihiana vile
 
Kwa mkono wa Robert Heriel.

Wangestahili huruma lakini si sasa.

Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi.

Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa zama zile sio zama hizi.

Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya uanamke Kwa 90%. Sasa hivi ndiyo hawapaswi kuonewa huruma hata kidogo.

Ni mama zetu, shangazi zetu, wake zetu, dada na bibi zetu lakini kamwe usimuonee mwanamke huruma hasa katika zama hizi. Ni kitanzi na kaburi lako mwenyewe.

Siwafundishi roho mbaya kwa maana sio asili yetu wanaume. Sisi ni watu wema tangu kale mpaka pale huruma mbaya ilipotuingia na hapo ndipo ubaya ukatuingia.

Jitahidi kuwa mbinafsi kwa kadiri utakavyoweza ili kujifurahisha wewe mwenyewe kuliko kuhangaika kumfurahisha mwanamke. Haitakusaidia popote pale zaidi ya kujiumiza na kuonekana kazi bure.

Usimuonee huruma mwanamke hata kama macho yako na akili yako vinaona anastahili kuonewa huruma.

Pengine mama yako tuu angalau huyo waweza mkumbuka kidogo lakini waliobaki cheza nao kwa akili nyingi huruma sifuri.

Huruma yako iwe na maslahi mapana. Apate kumi upate mia. Apate mia upate elfu. Usitumie moyo wako, tumia akili.

Usiwe na huruma kwa maana wanawake hupenda kuonewa huruma kwa wale watu wasiowapenda, huziweka nyuso zao za huruma ili kukulaghai na kuziteka hisia zako, usiwaangalie usoni wala usisikie sauti zao pindi wazungumzapo.

Walakini usimsahau mke wa ujana wako, ukamtendee wema ikiwa ulimchukua akiwa mwali, bikra safi. Huyo na mama yako walau unaweza wapa huruma yako kidogo hata kama wangekutenda makosa kadha wa kadha.

Lakini kama hawana sifa hizo kamwe huruma yako isiwe karibu na mwanamke.

Pia usitake huruma zozote kutoka kwa yeyote, tena akiwa mwanamke ndiyo usizitafute huruma zake.

Sina la ziada. Mwaka mpya mwema.

Robert Heriel,
Taikon wa fasihi,
Kwa sasa Makanya, Kilimanjaro.
Shukran sana kaka kwa kurasimisha hili,,,maana wengi tunakuwa hatusikilizi roho zetu,,,tunasikiliza niulize yetu ndo maana wanatuteka kirahisi,,,,
 
Mkuu tunasubiri mwongozo au road map ya kutembea nayo 2024 unatupa Elimu kubwa Sana mkuu barikiwa Sana.
 
Nina shemeji yangu anaishi nchi mojawapo inayopakana na Tz, yuko kwenye mchakato wa kutafuta mke wa kuoa.
Kwa vile huwa anakuja Tz mara kwa mara basi akakutana na binti mrembo mwenye mtoto mmoja. Binti akamuelezea shemeji jinsi alivyozalishwa na kutelekezwa. Shemeji akamuonea huruma akamwambia amuoe binti akamjibu kwa sasa ndoa bado bado wawe kwanza wachumba.
Shemeji akakubali , akawa anamhudumia yule binti ikiwemo kumpangia nyumba, kumfungulia biashara pamoja na mtoto wake kulipiwa ada shule ya binafsi.

Shemeji akamnunulia binti mrembo simu ya gharama akaweka na upelelezi wake..yaaah yaaah binti kumbe hajatulia shemeji akapata maovu yote ya binti ikiwemo ya binti akiwa kwa mganga akitoa mimba ya lijamaa lingine.

Shemeji akakata mawasiliano binti akaanza kusisitiza yuko tayari kuolewa, shemeji akaweka ushahidi wa maovu yake , ikawa mahusiano yameishia hapo huku binti akijuta.

Usimuonee hurumaaa!!
Shemeji yako naye poyoyo yaani kuwa na hela tu basi akili hana
 
👉🏾 As a man pambana mwenyewe katika kila situation, usitegemee msaada kutoka kwa yoyote labda msaada ujitokeze wenyewe

👉🏾Do no favor to anyone

👉🏾Kuwa wa mwisho katika maamuzi yanayokuhusu

👉🏾Kuwa tayari kumpoteza mwanamke yoyote
👉🏾Usilaumu chochote kinachokutokea, funga mkanda songa mbele

Naomba kwa leo niishie hapa
Mkuu kumbuka unaishi na watu hauishi na wanyama.....hii ni misemo tu hapo ulipo hata maji unachota kwa jirani harafu unajidanya Do no favor to any one😆😆😆
 
Kwa mkono wa Robert Heriel.

Wangestahili huruma lakini si sasa.

Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi.

Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa zama zile sio zama hizi.

Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya uanamke Kwa 90%. Sasa hivi ndiyo hawapaswi kuonewa huruma hata kidogo.

Ni mama zetu, shangazi zetu, wake zetu, dada na bibi zetu lakini kamwe usimuonee mwanamke huruma hasa katika zama hizi. Ni kitanzi na kaburi lako mwenyewe.

Siwafundishi roho mbaya kwa maana sio asili yetu wanaume. Sisi ni watu wema tangu kale mpaka pale huruma mbaya ilipotuingia na hapo ndipo ubaya ukatuingia.

Jitahidi kuwa mbinafsi kwa kadiri utakavyoweza ili kujifurahisha wewe mwenyewe kuliko kuhangaika kumfurahisha mwanamke. Haitakusaidia popote pale zaidi ya kujiumiza na kuonekana kazi bure.

Usimuonee huruma mwanamke hata kama macho yako na akili yako vinaona anastahili kuonewa huruma.

Pengine mama yako tuu angalau huyo waweza mkumbuka kidogo lakini waliobaki cheza nao kwa akili nyingi huruma sifuri.

Huruma yako iwe na maslahi mapana. Apate kumi upate mia. Apate mia upate elfu. Usitumie moyo wako, tumia akili.

Usiwe na huruma kwa maana wanawake hupenda kuonewa huruma kwa wale watu wasiowapenda, huziweka nyuso zao za huruma ili kukulaghai na kuziteka hisia zako, usiwaangalie usoni wala usisikie sauti zao pindi wazungumzapo.

Walakini usimsahau mke wa ujana wako, ukamtendee wema ikiwa ulimchukua akiwa mwali, bikra safi. Huyo na mama yako walau unaweza wapa huruma yako kidogo hata kama wangekutenda makosa kadha wa kadha.

Lakini kama hawana sifa hizo kamwe huruma yako isiwe karibu na mwanamke.

Pia usitake huruma zozote kutoka kwa yeyote, tena akiwa mwanamke ndiyo usizitafute huruma zake.

Sina la ziada. Mwaka mpya mwema.

Robert Heriel,
Taikon wa fasihi,
Kwa sasa Makanya, Kilimanjaro.
roja roja!!!!!
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 150. Mwanamke sio wa kumuonea huruma kabisa, wana roho mbaya sana, yani mwanamke kukumaliza ni jambo la fasta sanaaa. Hawana huruma kabisa.
 
Ni kweli wanawake wanamatukio mengi sana ya kikatili na kipumbavu tunayaona na kuyasikia Kila siku kikubwa ni kuishi nao Kwa akili tu Kwa kweli never trust a woman
 
Na mwanao wa kike naye hivyo hivyo.
 
Ni kweli wanawake wanamatukio mengi sana ya kikatili na kipumbavu tunayaona na kuyasikia Kila siku kikubwa ni kuishi nao Kwa akili tu Kwa kweli never trust a woman
Mbona report zinaonesha Ukatiri Wa wanaume dhidi ya. wanawake? Mnataka kumdanganya nani?
 
Back
Top Bottom