Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
Wewe ni mwanamke? hebu nieleze hii hali inakuwaje, naona kama uko kwenye nafasi nzuri sana ya kuielezea maana inaonekana hata wewe huipendi.Na hii hali inawakumba wanaume wengi tu, mi ningekuwa mwanaume nisingewekeza nguvu zangu zote za ujana kwa mwanamke mmoja, hiyo Ni Kama kujichimbia kaburi, Kuna wanawake Ni mafia, ningeoa mmoja ila ningezaa na zaidi ya mmoja, ama ningeoa zaidi ya mmoja