Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Abee abee abee Tony nimeitika mara tatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abee abee abee Tony nimeitika mara tatu
Na hii hali inawakumba wanaume wengi tu, mi ningekuwa mwanaume nisingewekeza nguvu zangu zote za ujana kwa mwanamke mmoja, hiyo Ni Kama kujichimbia kaburi, Kuna wanawake Ni mafia, ningeoa mmoja ila ningezaa na zaidi ya mmoja, ama ningeoa zaidi ya mmoja
Wangezaa na wake mmoja mmoja hiyo lonely na miserable life izidishe mara kumi yakeKwa wanawake haisadii unaweza zaa hata na wanawake 100 lakini watoto wote wakashikana na mama zao after all wao wanakuona ulikuwa mzinzi na kazi yako ilikuwa ni kustarehe na wanawake huku ukitelekeza mama zao. Nimeona sana kwa babu zangu pamoja na wengine kuzaa na wanawake wengi still walikuwa very lonely na miserable life.
Umesema Kweli, wanawake wachache Sana wenye mtazamo kama huu wengi huingia katika ndoa na agenda binafsiAsilimia kubwa ya wanawake hawana hofu ya Mungu, wana holu ya kulinda maslahi yao, Ukiona mwanamke anakimbilia kwenye dini,wazazi,mafundisho ya dini, Ndugu,marafiki, wasimamizi wa ndoa, viongozi wa dini, anachotaka hapo ni agenda yake ya kumiliki mwanaume ikamilike. Mwanamke mwenye akili anahakikisha anaelewa malengo ya MUME wake ktk maisha, na anakua msaidizi wake ktk kuyafikia hayo malengo na kama malengo sio mazuri au ni madogo basi mwanamke anakua mshauri kwa Mwanaume ili kurekebisha, Ni kama ilivyo kwenye kazi huwezi mlazimisha Boss wako kufanya jambo ila ukiona ni Nzuri na linafaida unamshauri kwani unajua hasara ikitokea na wewe utaathirika kwani hata kazi utakosa na kipato kitakosekana
🤣🤣🤣🤣Abee abee abee Tony nimeitika mara tatu
Wangezaa na wake mmoja mmoja hiyo lonely na miserable life izidishe mara kumi yake