Wewe ni mwanamke? hebu nieleze hii hali inakuwaje, naona kama uko kwenye nafasi nzuri sana ya kuielezea maana inaonekana hata wewe huipendi.Na hii hali inawakumba wanaume wengi tu, mi ningekuwa mwanaume nisingewekeza nguvu zangu zote za ujana kwa mwanamke mmoja, hiyo Ni Kama kujichimbia kaburi, Kuna wanawake Ni mafia, ningeoa mmoja ila ningezaa na zaidi ya mmoja, ama ningeoa zaidi ya mmoja
Mi nko pamoja na aliekujibuWamama si unawajua vizuri?
Kila la heri mkuuInawahusu Waliohamia Dodoma
Acha Niende Kondoa Sehemu Inaitwa Mauno
Nikakate Mauno Huko Huko
Nikipata muda nitaelezea kwa kinaKwann umesema hivi mkuu? Elezea vizuri nipate point yako huenda kuna funzo hapo.
Na hii hali inawakumba wanaume wengi tu, mi ningekuwa mwanaume nisingewekeza nguvu zangu zote za ujana kwa mwanamke mmoja, hiyo Ni Kama kujichimbia kaburi, Kuna wanawake Ni mafia, ningeoa mmoja ila ningezaa na zaidi ya mmoja, ama ningeoa zaidi ya mmoja
Na hii hali inawakumba wanaume wengi tu, mi ningekuwa mwanaume nisingewekeza nguvu zangu zote za ujana kwa mwanamke mmoja, hiyo Ni Kama kujichimbia kaburi, Kuna wanawake Ni mafia, ningeoa mmoja ila ningezaa na zaidi ya mmoja, ama ningeoa zaidi ya mmoja
Kweli safari hii wanawake mmeamua kutoa Siri za kambi heko kwako wapo watakao kuponda lakin ukwel mchunguNa hii hali inawakumba wanaume wengi tu, mi ningekuwa mwanaume nisingewekeza nguvu zangu zote za ujana kwa mwanamke mmoja, hiyo Ni Kama kujichimbia kaburi, Kuna wanawake Ni mafia, ningeoa mmoja ila ningezaa na zaidi ya mmoja, ama ningeoa zaidi ya mmoja
Ruksa mkuu, na kila la heriKwa ruhusa yako, naomba niprint screenshot ya post yako... kisha niilaminate niweke kwa fremu sebleni.
Nikiwa mkubwa nikumbuke kuzingatia ushauri wako.
Nakuomba unisikie!!![emoji1488]
ShukraniAgiza chochote kwa bili yangu, pia naamuru jeshi likupatie ulinzi kwa wiki nzima.
Waambie hawa madogo, utawasaidia na kuwaokoa pakubwa... proud of you mrembo!
Mbona Ni ishu ya kawaida tu, thamani ya mwanaume ni mkiwa vijana wenye nguvu mkizeeka thamani yenu inashuka mpk negativeKweli safari hii wanawake mmeamua kutoa Siri za kambi heko kwako wapo watakao kuponda lakin ukwel mchungu
#USIWASIKILIZEHAO5INATOSHA
ukiwa tayari uj nikupe uumeNa hii hali inawakumba wanaume wengi tu, mi ningekuwa mwanaume nisingewekeza nguvu zangu zote za ujana kwa mwanamke mmoja, hiyo Ni Kama kujichimbia kaburi, Kuna wanawake Ni mafia, ningeoa mmoja ila ningezaa na zaidi ya mmoja, ama ningeoa zaidi ya mmoja
Pamoja na kuoa wake wengiKwann umesema hivi mkuu? Elezea vizuri nipate point yako huenda kuna funzo hapo.
Wanawake tuna tabia ya kushindana hasa mkiwa na uke wenza ndio inakuwa zaidi, haiwezekani wote mkamtelekeza Kuna atakaejipendekeza kwa mwanaume ili aonekane bora hivyo inakuwa ndo pona pona ya mwanaume husika, na ikiwa hivyo wengine nao wataiga tu hawatokubali kumuachia ushindi kizembe hivyo mwenzaoPamoja na kuoa wake wengi
Kisanga kinabaki palepale tena itakuwa zaidi maana kila mwanamke anavuta mtoto kwake tena zile hasira za kwamba kaenda kulala kwa mke mdogo zinahamia kwa watoto na kuwajaza ujinga.
Vita inapamba moto mpaka unazeeka
Na wewe nikupe uke?ukiwa tayari uj nikupe uume