Usimwachie mkeo nyumba zaidi ya miaka 5 peke yake


Kwa wanawake haisadii unaweza zaa hata na wanawake 100 lakini watoto wote wakashikana na mama zao after all wao wanakuona ulikuwa mzinzi na kazi yako ilikuwa ni kustarehe na wanawake huku ukitelekeza mama zao. Nimeona sana kwa babu zangu pamoja na wengine kuzaa na wanawake wengi still walikuwa very lonely na miserable life.
 
Wangezaa na wake mmoja mmoja hiyo lonely na miserable life izidishe mara kumi yake
 
Umesema Kweli, wanawake wachache Sana wenye mtazamo kama huu wengi huingia katika ndoa na agenda binafsi
 
Reactions: Lob
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…