Usimwamini Mwanamke wako hata kama ameshika dini. Maumivu niliyopata leo sitayasahau kamwe

You met a Gold Digger in the Church.

Ila najua ipo siku atakutafuta sana
 
As long as ushasukuma 'minyama ndani minyana nje' move on...hakuna maumivu makubwa kwa mwanamme kama kuachwa akiwa hajabailojiana na mwanamke wake...ila ww atleast umepitia... alafu kingine hongera kuwa bado hujaona...unauwanja mpana sana bado wa safari
 
ni ngumu kukimbia mapenzi hata ushike vipi dini au yakuumize kiasi gan sana sana ujifunze tu
Mtu amekosa mlokole anasali amekosa uamnifu kwa Mungu wake atakosaje auaminifu kwako? NI msanii sio mtu wa dini heri ambaye muwazi kabisa njoo tuzini hamna mabo ya dini Wala nini
 
Shida yako inaanzia kwenye kuandika. Unavyoandika tu naona kuna shida. Na sioni unacholalamika hapo. Mtu hakuwa mkeo ,hakuwa mchumba mmefikia hatua mmeamua kuachana .si unaachana naye mnasonga mbele? Binti hakuwa anakupenda toka mwanzo wewe tu ni mzito kuelewa. Yaani maelezo yako yooote yanathibitisha hakuwa akikupenda. Endelea mbele na maisha.
 
We jamaa ni zoba sana. Uzuzu wako usitake kutuaminisha kuwa wananwake sio waaminifu.

Matukio yoote hayo bado hukushtuka tu kuwa hupendwi?

Hata ungemuoa huyo tayari alikuwa na mume wake mwingine wewe ulikuwa kama pambo tu.
Mkuu nshahack adi wimu yke sikukuta kitu zaid ya watu wanamtongoza anatoa nje japo zpo sms tata
 
mkuu nimeandika kwa haraka sana sababu niko fluctuacted na siku ya leo sifanyi chochote zaid ni kupumzika tu nisamehe kwa mwandiko nimekuja huku kusaka faraja na wengine wataadithia km wamewah kutana na kitu km hich
Pole sana Bwana Renamaizo. Hata mimi Rasterman nimepitia matukio ila sio level yako. Hii yako ni high level of humiliation Huyo demu alikuwa anakutumia tu pesa zako.

Wakati ukimtaka kwa utamu anakuzuilia ujue kuna msela alikuwa ana mega kisela na hatoi hata shilingi.

Nadhani sasa umejifunza siku nyingine usikurupuke.

Pole amekupotezea muda na mali.

Vijana tujikite kujiendeleza kutafhta maisha na kujinufaisha sisi na Taifa.

Mwisho kabisa karibu kwenye mbio za Katiba Mpya. KATIBA YA warioba.
 
mkuu nshahack adi wimu yke sikukuta kitu zaid ya watu wanamtongoza anatoa nje japo zpo sms tata
Ndio. Hii ichukue kama Case study. Mwanamke anayekupenda anakupa utamu bila hiana wala mawaaa.

Kwani na yeye anakuwa na yenge
 
mkuu huyu dada alikuwa hapend pesa kabisa
Alikuwa anakuonea aibu. Alijua kabisa unampenda lakini yeye hakukupenda kabisa. Alishindwa kukwambia ndio maana alikuwa anakufanyia vituko ili na wewe ujiongeze
 
Kuambiwa hupendwi hukuambiwa ts okay......hata kuona hupendwi hukuona try glass this time
 
Yaani jamaa,anaona kabisa dada hampendi,ana-fosi tu... boya sana wewe,muwe mnatumia hata saikolojia ya kawaida,kujua unapendwa au hupendwi.
 
Sasa unalilia ndoa mkiwa watoto hivyo ? Ndoa sio kinga ya ujinga. Ndoa ni kama kafara mzee unakubali kuwa na mtu maisha yako yote kwa mema na kwa mabaya. Kwenu sioni hilo mko kwa ajili ya sex tu.
 
Naona umepigwa tukio karibu JF tukupe faraja. Ila usiwahukumu wanawake walokole wote. Huyu hakuwa mlokole. Mlokole halisi aingii guest.
 
Dogo endelea kula mbususu Ili upate uzoefu, ndoa sio fiesta. Ndoa ni bothside maturity.
 
Pole sana Broh!
In connecting dots, kuna wakati sisi wanaume tunalazimisha tunayoyataka kuwa tunavyotaka ingawa wakati mwingine ni ngumu sana.
Tunatengeneza imaginations tofauti sana na wenzetu. Kibaya zaidi tunajipa matumaini kwenye mawazo yetu jambo ambalo naweza linaweza kutuweka hatarini sana.
Back to point, hawa Dada zetu na kwa upekee kabisa “waliookoka” huwa wana tazamo tofauti sana juu ya suala zima la mahusiano yanayopeleke ndoa. Maelezo yako yanaonesha kabisa mitazamo tofauti mliyokuwa nayo. Kipindi wewe una mtazamo wa kufanya pilot study ili uoe mwenzako ana mtazamo wa kujiona mkosaji, mdhambi.
Ukweli ni kwamba wchungaji wengi hususani wa makanisa ya kilokole huwa wanainstill mawazo yanaioubadili sana mtazamo wa vijana juu ya mahusiano ya kimapenzi. Mambo haya huelezewa katika mkabala hasi mno Kaka na kwa urafiki mdogo niliowahi kufanya Dada zetu hawa huelewa mkabala huo na kuushikilia kuliko akina Kaka.
Inachukua muda mrefu sana kwa Dada mwenye mtazamo huo kubadilika na kuelewa lakini haimaanishi hataelewa. Wanaowafundisha masuala ya ahisiano na mapenzi hujiweka katika magazine za umalaika sana kiasi cha kuwafanya vijana kutoona maisha halisi ya mwalimu wao kama Mwanadamu. Siyo kosa lao ila ni namna walivyokuwa “brainwashed” na mafundisho ya mahusiano na ujana na mahusiano kanisani.
Wengi wao huangukia hatarini zaidi hususani wanapoamua kuvunja mahusiano na kuanza upya (siyo wote). Ushauri wangu kwako ni kumpa muda tu, nafahamu bado hujafikia critical point ya kumuacha kabisa..jipe muda kidogo usijilaumu au kujilaumu kwa sababu kila jambo hutokea kwa wakati na kwa kusudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…