Usimwamini Mwanamke wako hata kama ameshika dini. Maumivu niliyopata leo sitayasahau kamwe

Aisee ukisoma hayo maandishi kweli bro umevurugwa.

Ushauri wangu.

Don't force, mpe muda 1 week hafu ndio mcheki. Kama wako ni wako tu.
 
Ukweli mchungu .... huyo mwanamke alikuwa sahihi sababu zangu ni hizi
1: huna experience yakuishi na mwanamke bado limbukeni
2: wew siyo mstarabu hujui usafi wa mwili na kinywa
3: bado hujapevuka kiakili kuweza kusoma mazingira rafiki kwa mwenza wako ...mfano mtu mwenye malengo naye huwezi daily kumpeleka gesti
4: huna vision yenye ushawishi badala yake unatumia nguvu kubwa kumshawishi
5hujawa mwepesi kugundua nini mwenza wako Ana taka na nini ufanye kwa wakati gani
USHAURI ...jifunze kuishi na mwanamke anaye kupenda yeye siyo wew umpende sana yeye ndo akupende sana hapo utaona maisha mazuri tofauti na hapo utapata tabu sana ....maana wew ni mwepesi wa hasira
 
Huyo mwanamke hakupendi kabisa tokea mwanzoni alafu pia inaonekana ni mshamba wa wanawake a.k.a zoba samahan kama nimekutolea maneno makali
 
Jaman mimi kila siku nasema alaf huyu kwenye kikao chetu cha mwisho hakuja kabisa……

Agenda namba nne ilkua inasema “MAPENZI SIO YA WAVULANA BALI WANAUME TU”

Na haya ndo madhara ya kutohudhuria vikao alaf yakiwatokea puani unakuja huku kuanza kusumbua watu tu……SHAME
 
Mwanamke anayekupenda kweli hana haja ya kukwambia anakupenda, uso wake tu mkionana na tabia zake zitazungumza yote.
Mwanamke anayekukubali Kuna tabasamu flani hivi anaachia kila mkikutana, sms anakuanza yeye sio lazima umuanze yeye same applies kwenye call na ukimwambia tukutane chap kwa haraka anakubali kama hakupendi ni vice versa ya mambo yote niliyoyaandika hapo juu
 
Mwanamke ambae wewe unamchukulia kama mpendwaa sijui Mcha Mungu jua kuna Mshikaji anamtreat kama malayaaa wakeee...!! Hii hata kwa wake za watuuu... Na ogopaa sana mwanamke mpendwa malaya akiamua kukuonesha upande wake mmoja wa Utumishi aiseee siku ukiujua ukweli unaweza tamani umuuee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yaani stori nzima inaonesha hukujua ufanye nini ili upate mke. Yaani mwanamke kupigania ndoa ni kulala na wewe? Unapanga chumba ili aje mzini! No way, unajaribu kuplay cool guy, lakini wewe nawe ni wale wale tu
 
Umeongea point kinomaa mwenye kukuelewa atakuelewa.
 
hii ishaletaga igomvi familia moja jina kapuni kuna dada mmoja alieshimika sana ajabu ikaja gundulika analiwa tigo tena sio gest wala nn jumba bovu
 
kuna kitu inaitwa fake smile kwan huyu wangu tabasamu alikuwa hatoi
 
Siyo nema huyo kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…