Usimwamini Mwanamke wako hata kama ameshika dini. Maumivu niliyopata leo sitayasahau kamwe

Usimwamini Mwanamke wako hata kama ameshika dini. Maumivu niliyopata leo sitayasahau kamwe

Nimesoma nusu tu, nimeona bado hujakomaa, unapelekeshwaje na mwanamke kiasi hicho kwa miaka mitatu. Uanaume wako ulikua wapi. Ila pole hatupo sawa.
 
Dogo meza imeshapinduliwa hapo, kitendo cha kukuambia umechelewa kufanya maamuzi unatakiwa ujue kuna kidume kimeshakuwahi muda mrefu.

Move On!
yaweza kuwa kweli ila siwez amin hilo kilahis
 
Nimesoma nusu tu, nimeona bado hujakomaa, unapelekeshwaje na mwanamke kiasi hicho kwa miaka mitatu. Uanaume wako ulikua wapi. Ila pole hatupo sawa.
soma chini kuna update nimeelezea kwann nilidumu nae
 
Mdogo wangu , pole kwa hayo
Ila jifunze kukubali nyakati zilizo njema na zenye kuumiza

Huyo amekuacha na hakukupenda , endelea na maisha yako jitafute upya katika mahusiano , jiwekeze katika maisha muda mzuri unakuja.

Huyo muache aende usirudi tena huko utaumia zaidi .

Alafu huyo ameshika dini gani unayoisema
Ukweli ni kuwa ni mdhambi mmoja kama mimi na wewe.
 
Kubali kuwa umeachwa endelea na maisha mengine au ni mgeni kwenye mapenzi? Milima na mashimo kwenye mahusiano ni kawaida sana. Pole lakini.
nashukuru mdau soma update kisha nipe ushauri
 
Mwanamke anayekupangia sio wako, ulitakiwa kujua hili tangu mwanzo. Ungekuwa na backup usingeumia.
 
Hizo nguvu inazotumia kumrudisha mapenzini uyo kichomi zielekeze katika kutafuta pesa mkuu achana na mambo ya ndoa
 
Hivi mwanaume unapataje wasaa wa kuumia unapoachwa na ili hali wanawake ni wengi mno mtaani?!
 
Habar wadau !!!

Leo nimeachana rasmi na msichana niliedumu nae kwa miaka mitatu ni mlokole na ameishika din kweli kweli yaan ni kila siku jpili ni lazima aende church na siku za kati ya wiki anaenda mkesha misa za usiku mapenzi yetu yalitawaliwa na utata mwing mno km kudo ilikuwa ngumu sn na yote akidai kuwa hatak kwenda gest na pia anataka tuoane

Kwa kipimd kile anayadai hayo nilikuwa naish na ndugu yngu wa kiume ivo ilikuwa ngumu yy kuja kulala pale ninapokaa na aliweka mkazo nikapange na aliweka waz kuwa nikapange na anataka tuoane tuwe na familia na sababu ya yy kunipangia siku za kuonana ni hilo la kuoana na gest ki ukweli ni story ndefu kidogo apo maana hata huko gest siku moja moja tulizokuwa tunaenda ilikuwa kunq tokea vurugu kuna wakat nakuwa cjaridhika yy anasema basi anaondoka imetosha kuna wakati analia kabisa na kudai tumbo linamuuma na kuna mda ananisukuma na kuna mda anajaza mate mdomon na kuna mda anayatema baada ya kukiss tukienda bafuni kuoga ananisukuma yani tusioge karibu karibu tuoge mbali mbali na hayo yanatokea kila mara tutakayoenda gest ni stori ndefu kidogo lkn in short ni kwamba almost kwa mwez tulikuwa tunakutana once na baada ya kumuomba sex sana

Mara zote yy alidai hapendi gest nipqnge ayo mambo yataisha tuligombana sn tunapatana sasa last mouth mwezi ule wa sensa nikawaambia mdau wngu kuwa kila mtu akatafute room yke kwa sasa na tukakubaliana kila mmoja aish kivyake ajitegemee mpango wa kushare kodi hamna tena na maswala ya geto yakaishia pale

Mimi nikatafuta zngu room mahali pengine nikapanga nilipopanga tu gafla tu yule dada alianza visa nikimpigia simu hapokei sms hajibu na baadh ya namba kablock kabisa nikaongea na da yke anaeish nae akasema ataongea nae lkn haikuzaa matunda baada ya km wiki 2 za kumtafuta sinu yke ikiwa hapokei nilimtumia sms TUACHANE sasa cha ajabu baada ya kutuma tu ile sms ilijibiwa ivi kuwa chanzo cha yeye kukaa kimya ni kwa sababu anataka ndoa na kwa kipind hko nilikuwa tayar nimepanga mwez mzima naish peke angu na hii nimefuata ushauri wke na yy hajawah hata kukanyaga

Nikamjibu kuwa yy analiliaje ndoa mbayo yy haipiganii karibu sherehe nying huwq naenda na yy na mara zote ni yy tu yaan baba na mama na ndugu wanamjua na kuna story fupi kidogo kwenye hzo sherehe alikuwa akigundua mama upo tu lazima aomdoke nikimuuliza sababu ya yeye kukimbia anasema mama ni mtu wa heshima sn inabid akutane nae nyumban na sio kwenye sherehe
apo tuligombana pia kwamba mama sio MUNGU msalimie tu yaishe ili ata siku akijua naoa ajue ni ww japo haikuwah kutokea na naweza kucomclude kwamba hakuwah ongea na mama hata siku moja baba aliwah onhea nae mara moja tu basi

Mapenzi yetu yaligubikwa na wingu kubwa ambalo kabla mwaka huu haujaisha nilipanga tuoane ndugu zake namjua mmoja tu dada ake mkubwa ambae ndo anaish nae wamepanga room moja yy ana saloon na dada ake anashona nguo na aliniweka waz kuwa huku mjin hana ndugu wengi ndugu zke weng wapo kijijin na mama ake upo uko apa mjin aliletwa na dada yke ambae undugu uko mbali kidogo kuja kufanya kaz za saloon uyo dada ake ndo ni km.mama yke apa mjim anaishi nae toka 2016 na amemsaidia kaz nying amemlea km mwanae

Mwaka 2016 kipindi nakutana nae 1st time aliniomba pesa akafungue saloon nikqmkatalia nilijua hayo ndo yale mapenzi ya mjin ukimwaga tu mpunga huna chako japo msaada mdogo mdogo km na pesa km chakula mavazi simu nilimnunulia na kuna siri zngu za biashara nilimpa lengo langu sikutaka ateseke nilitaka awe free aish maisha mazur lkn sasa najuta maana nilimwamin sn kiasi kuwa naweza semq hakuna mwanamke alifikia pale na nimewakataa wengi sana kipimdi nipo nae ata wale walikuwa na mm walipoona siwapi priority na sina mpango nao walisepa mmoja ni mwanafunzi anasoma CBG ni mchaga tuliachana na sasa ana mtoto mwengine anaitwa gift saiz hata sms.zngu hajibu kuna mwingine anaitwa basia nae namba yke haipatikan ni wengi kwa kweli niliowapuuza kipimdi nipo nae nikisema niwataje apa sitowamaliza kuna mwingine nae anaitwa rapahaela kanipuuza kabisa na baadh ya girls washaniblock siwez walaumu sababu kipindi nipo nahuyu dada niliwatesa wengi sikuwajali hata

Sasa baada ya my love of all time kupigilia msumar kuwa anataka ndoq nilimpigia simu mwezi huo akiwa hajakanyaga kwangu nimuulizq kuwa dada ako ambae ni km mama yko apa dar na ndugu zako wanajua mahusiano yetu akasema ndio nikamwambia anielekeze anapoishi akaniuliza unataka kwenda nikamwambia ww nielekeze tu akaniambia usijali ntakuelekeza na apo nshawaepeza ndugu na wazazi kuwa nataka nioe mwaka huu ajabu hakunitafuta kunielekeza uyo dada ake anapoish na nilipopiga nikagundua kuwa namba zangu kaziblock zote na usiku huo niliota ndoto tata sana nikampigia kwa namba yngu extra mbal na zile alizofunga ikapokelewa lkn iliposikia ni mm hakujibu kitu na nikapokea sms h

View attachment 2363267

UPDATES
Kwa comment za wadau apo chini wengi wanadai demu hakunipenda since first time alihitaji tu msaada wangu sawa sikatai yaweza kuwa kweli lkn naomba nielezeee maisha uetu yalivyokuwa na kwann tulidumu
1.sikukuu zote kubwa na muhimu km x mas pasaka new year birthday zake valentine day birthday zngu zote tulikuwa wote na hakukuwa na fujo zozote labda simu yke kuita au meseji kuingia na simu yke nilitumia technolojia kuhack simu yke sikupata hatia yyote zaid ya wanaume kumtumia sms na hazijibu
2.apaishi na anapofanya kaz napajua nimetega ambush mara kadhaa na huwa anatoka usiku saa 5 nk na sikuwah mkuta na mtu wala nn

3.anapenda sana dini aiseee si mchezo mchezo km hao mnaomfananisha nae huyu upo serious na din na aliniweka waz kuwa bila din yy na mama yke wanheshafariki alinieleza kinagaubaga chini juu na hata usiku nampigia video call naona upo kanisan


4.aligusa sana maisha yngu hapa wengi hawawez kunielewa mfano niliibiwa simu yy ndio alinipa pesa laki 1 niongezee ninunue simu nyingine na pili alinialika adi kanisa analosali hata kipind naumwa alikuwa very close kunijulia hali

5. ubongenyanya nahisi unamboa mara kadhaa amekuwa akiniambia nifanye mazoezi nipunguze mwili lkn sikufanya ivo badala yke nilizid kunenepa kwa kukosa mda wa mazoezi na kula

5.hapendi pesa akiniomba hela nikimwambia sina anaelewa na day 1 tunakuwa in relationship kumpima nilimpa nauli 1000 tu na alishukuru na alipofka alinijuza amefika

6.kutema mate as from my experience nilichogundua manzi kuna kitu hataki kusema ila ukweli ni kwamba nahitaji modification in my mouth ikiwezekana ata pafyumu ya mdomo hayo mambo ya kula kyla sana mdomo biskuti sijui karanga mdomo unakuwa mchafu sn

7.ameisho kijijin si wa bongo dar ameingiza 2016 na aliletwa na dada ake aje afanye biashara ya kuuza nguo

Nimeongea na dada ake mkubwa kaniambiq nitafute mda niende kwenye saloon yke niongee nae

Nashukuru kwa michango yenu inatia moyo lkn pia mnisamehe kwa mwandiko sina good mood kabisa
Una umri gn? Kwa maelezo yako nadhani ww ni kijana tu kama mimi hatuna tofauti sna ya umri.. ila kwa maelezo yako nakushangaa sana nakuamua kukupuuza tu ukome..

Hivi unamuamini vp mwanamke mpka unafikia hatua hiyo ya kuja kulalamika na hili gazeti!!sijafikisha umri wa miaka 30 lkn siwezi kuteswa na mwanamke ktk maisha yangu.. mwanaume unapaswa kumfanya mwanamke awe na hofu ya kukupoteza ww na sio ww ndo uwe na hofu hiyo.

Mimi na mpenz wngu tuna miaka 4, anajua kila kitu kuhusu mimi na baada ya kuzoeana siku 1 alizingua nikamchana mimi sipendi hiki na hiki na sijali kuachana na ww hata kama nakupenda.. binafsi nampenda sana na nina mpango wa kumuoa ila mimi sijali kuhusu kuachana nae nikiona yupo tofauti na ninavyotaka mimi.

Mwisho niseme ww ni mshamba wa mapenz, tumeshatoka huko mapenz hayatusumbui.. kwanza mwanume unakosaje michepuko hata miwili ya kuzugia? Ushamba wako mwenyewe ni halali angekuchapa hata makofi
 
Dunia hii unapaswa usiweke malengo na mwanamke yani unatakiwa uwe na malengo yako tu
Zama zimebadilika
Nashangaa hata mimi mwanaume kuwa na mipango ya malengo na mwanamke ni ujinga na upuuzi mkhbwa sna
 
Dogo kubali mapenzi yameisha ukiendelea kushupaza shingo itakua tatizo baada ya tatizo.Boko baada ya boko.
 
Back
Top Bottom