Usimwamini Mwanamke wako hata kama ameshika dini. Maumivu niliyopata leo sitayasahau kamwe

Usimwamini Mwanamke wako hata kama ameshika dini. Maumivu niliyopata leo sitayasahau kamwe

Kumbe vijana mnateswa na mapenzi kuliko tozo[emoji38][emoji38]ila nyieeeeee[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nasikitika kujua kuwa ASHURA kauumiza moyo wako ila usiwe mtu wa kulalamika sana hujui Mungu kakuepusha na nini. Mda mwingine watu tunaokutana nao sio sahihi katika maisha yetu ukapoteza mda, sasa omba sana MUNGU akuletee mtu sahihi kwenye maisha yako. .
Kabisa wakat mwingine vitu ambavyo hatuna kheri navyo vinaondoka Ili vingine vizuri vije japo inaumiza sana kiukweli
 
Kabisa wakat mwingine vitu ambavyo hatuna kheri navyo vinaondoka Ili vingine vizuri vije japo inaumiza sana kiukweli
mkuu nashukuru sana kwa mchango wako ila nataka nikudokeze kitu kwa visa vya uyu dada nimewah achana nae mara zisizopungua tano na kila nikifanya ivyo lazima afunge safar kunifuata mda mwingine asubuh mapema ata sijaamka ananiita nje tunaongea tunayamaliza maisha yanaendelea leo kapindua yy dada ake anashauri nimfuate saloon kwake
 
Sasa flustrsted ya nini na ww ndo ulisema Muachane??[emoji38],uliomba muqchane amekujibu hutaki kukubali
 
Sasa flustrsted ya nini na ww ndo ulisema Muachane??[emoji38],uliomba muqchane amekujibu hutaki kukubali
soma kwa makini uelewe hii ya mwisho sikutoa mm yy ndo alianza visa nilipomjibu tuachane akasema sababu ya visa ni kuwa anataka tuoane nikamwambia anipeleke anapoish dada ake kablock number na kasema tuachane
 
mkuu nashukuru sana kwa mchango wako ila nataka nikudokeze kitu kwa visa vya uyu dada nimewah achana nae mara zisizopungua tano na kila nikifanya ivyo lazima afunge safar kunifuata mda mwingine asubuh mapema ata sijaamka ananiita nje tunaongea tunayamaliza maisha yanaendelea leo kapindua yy dada ake anashauri nimfuate saloon kwake
Acha ujinga kuwa mwanaume usiwe mvulana,simama kama mwanaume ili uheshimike usichukuliwe poa. Unavurugwa na mjinga mjinga acha kuwa kama kupe,songa mbele.
 
Hyo update uloweka sijaelewa ni ww ndo unanuka mdomo au yeye mpk unataka pafume za kupuliza mdomoni?
 
Ni PM namba yake chap nirekebishe hilo tatizo haraka kabla halijawa kubwa zaidi.
 
Hyo update uloweka sijaelewa ni ww ndo unanuka mdomo au yeye mpk unataka pafume za kupuliza mdomoni?
Jamaa kwanza ni kibonge halafu pia anamatatizo ya kunuka mdomo.
Hakika mlokole alijitahid sana kuvumilia.
 
1. Andika vizuri.
2. Hakukuwa na haja ya wewe kuorodhesha idadi na majina ya wasichana uliowakataa(kwa madai yako).
3. Jitahidi kuwa msafi na nadhifu wakati wote, deodorant zisikupite kila siku, nukia vizuri...
Ukinukia vizuri sio rahisi mtu kukataa kuwa karibu na wewe.
4. Baada ya kusoma hili bandiko lako, hata ingekuwa mie ndo huyo binti ningeachana na wewe, ninachomlaumu huyo binti ni kwamba hakuwa muwazi kwa muda mrefu(amekupotezea muda)
Wewe ni jinsia gani?

Nijibu vizuri. Una roho mbaya sana!
 
Una umri gn? Kwa maelezo yako nadhani ww ni kijana tu kama mimi hatuna tofauti sna ya umri.. ila kwa maelezo yako nakushangaa sana nakuamua kukupuuza tu ukome..

Hivi unamuamini vp mwanamke mpka unafikia hatua hiyo ya kuja kulalamika na hili gazeti!!sijafikisha umri wa miaka 30 lkn siwezi kuteswa na mwanamke ktk maisha yangu.. mwanaume unapaswa kumfanya mwanamke awe na hofu ya kukupoteza ww na sio ww ndo uwe na hofu hiyo.

Mimi na mpenz wngu tuna miaka 4, anajua kila kitu kuhusu mimi na baada ya kuzoeana siku 1 alizingua nikamchana mimi sipendi hiki na hiki na sijali kuachana na ww hata kama nakupenda.. binafsi nampenda sana na nina mpango wa kumuoa ila mimi sijali kuhusu kuachana nae nikiona yupo tofauti na ninavyotaka mimi.

Mwisho niseme ww ni mshamba wa mapenz, tumeshatoka huko mapenz hayatusumbui.. kwanza mwanume unakosaje michepuko hata miwili ya kuzugia? Ushamba wako mwenyewe ni halali angekuchapa hata makofi
Ushauri wa kiume sana huu japo unachekesha [emoji23][emoji23]

Mtoa mada chukua ushauri huuu
 
Mnadate wote wajinga, mwanamke hakupendi pia hana akili, ukiachana na kukosa elimu.

Nyongeza: Kwa uandishi wako, ulistahili kuachwa.
Mkuu wote wajinga wa mapenzi au wajinga Wambo yaki jamii na kielimu?
 
Women don't respect men who don't have options.

Anyway i cant wait siku naachwa, sijui na mimi ntakuja na gazeti kama hili? [emoji848]
kuna kamba za manila huwa zinatumikaga kupoza maumivu
 
Uandishi wako unaashiria Ni jinsi gani umestresika, pole Sana mkuu hope moyo na uendelee na maisha yako mengine.
Utapata mwanamke mwingine huko mbele.
 
mkuu nimeandika kwa haraka sana sababu niko fluctuacted na siku ya leo sifanyi chochote zaid ni kupumzika tu nisamehe kwa mwandiko nimekuja huku kusaka faraja na wengine wataadithia km wamewah kutana na kitu km hich
Duh! kweli yuko fluctuacted😂
 
Back
Top Bottom