Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Umeongea point sanaHah dhambi! mtu akiwa na uandishi mbaya hastahili kupendwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea point sanaHah dhambi! mtu akiwa na uandishi mbaya hastahili kupendwa?
Naamini ulitaka kuandika kuwa uko frustrated!fluctuacted
Kabisa wakat mwingine vitu ambavyo hatuna kheri navyo vinaondoka Ili vingine vizuri vije japo inaumiza sana kiukweliNasikitika kujua kuwa ASHURA kauumiza moyo wako ila usiwe mtu wa kulalamika sana hujui Mungu kakuepusha na nini. Mda mwingine watu tunaokutana nao sio sahihi katika maisha yetu ukapoteza mda, sasa omba sana MUNGU akuletee mtu sahihi kwenye maisha yako. .
mkuu nashukuru sana kwa mchango wako ila nataka nikudokeze kitu kwa visa vya uyu dada nimewah achana nae mara zisizopungua tano na kila nikifanya ivyo lazima afunge safar kunifuata mda mwingine asubuh mapema ata sijaamka ananiita nje tunaongea tunayamaliza maisha yanaendelea leo kapindua yy dada ake anashauri nimfuate saloon kwakeKabisa wakat mwingine vitu ambavyo hatuna kheri navyo vinaondoka Ili vingine vizuri vije japo inaumiza sana kiukweli
soma kwa makini uelewe hii ya mwisho sikutoa mm yy ndo alianza visa nilipomjibu tuachane akasema sababu ya visa ni kuwa anataka tuoane nikamwambia anipeleke anapoish dada ake kablock number na kasema tuachaneSasa flustrsted ya nini na ww ndo ulisema Muachane??[emoji38],uliomba muqchane amekujibu hutaki kukubali
Acha ujinga kuwa mwanaume usiwe mvulana,simama kama mwanaume ili uheshimike usichukuliwe poa. Unavurugwa na mjinga mjinga acha kuwa kama kupe,songa mbele.mkuu nashukuru sana kwa mchango wako ila nataka nikudokeze kitu kwa visa vya uyu dada nimewah achana nae mara zisizopungua tano na kila nikifanya ivyo lazima afunge safar kunifuata mda mwingine asubuh mapema ata sijaamka ananiita nje tunaongea tunayamaliza maisha yanaendelea leo kapindua yy dada ake anashauri nimfuate saloon kwake
Jamaa kwanza ni kibonge halafu pia anamatatizo ya kunuka mdomo.Hyo update uloweka sijaelewa ni ww ndo unanuka mdomo au yeye mpk unataka pafume za kupuliza mdomoni?
Wewe ni jinsia gani?1. Andika vizuri.
2. Hakukuwa na haja ya wewe kuorodhesha idadi na majina ya wasichana uliowakataa(kwa madai yako).
3. Jitahidi kuwa msafi na nadhifu wakati wote, deodorant zisikupite kila siku, nukia vizuri...
Ukinukia vizuri sio rahisi mtu kukataa kuwa karibu na wewe.
4. Baada ya kusoma hili bandiko lako, hata ingekuwa mie ndo huyo binti ningeachana na wewe, ninachomlaumu huyo binti ni kwamba hakuwa muwazi kwa muda mrefu(amekupotezea muda)
Ushauri wa kiume sana huu japo unachekesha [emoji23][emoji23]Una umri gn? Kwa maelezo yako nadhani ww ni kijana tu kama mimi hatuna tofauti sna ya umri.. ila kwa maelezo yako nakushangaa sana nakuamua kukupuuza tu ukome..
Hivi unamuamini vp mwanamke mpka unafikia hatua hiyo ya kuja kulalamika na hili gazeti!!sijafikisha umri wa miaka 30 lkn siwezi kuteswa na mwanamke ktk maisha yangu.. mwanaume unapaswa kumfanya mwanamke awe na hofu ya kukupoteza ww na sio ww ndo uwe na hofu hiyo.
Mimi na mpenz wngu tuna miaka 4, anajua kila kitu kuhusu mimi na baada ya kuzoeana siku 1 alizingua nikamchana mimi sipendi hiki na hiki na sijali kuachana na ww hata kama nakupenda.. binafsi nampenda sana na nina mpango wa kumuoa ila mimi sijali kuhusu kuachana nae nikiona yupo tofauti na ninavyotaka mimi.
Mwisho niseme ww ni mshamba wa mapenz, tumeshatoka huko mapenz hayatusumbui.. kwanza mwanume unakosaje michepuko hata miwili ya kuzugia? Ushamba wako mwenyewe ni halali angekuchapa hata makofi
Mkuu wote wajinga wa mapenzi au wajinga Wambo yaki jamii na kielimu?Mnadate wote wajinga, mwanamke hakupendi pia hana akili, ukiachana na kukosa elimu.
Nyongeza: Kwa uandishi wako, ulistahili kuachwa.
kuna kamba za manila huwa zinatumikaga kupoza maumivuWomen don't respect men who don't have options.
Anyway i cant wait siku naachwa, sijui na mimi ntakuja na gazeti kama hili? [emoji848]
Duh! kweli yuko fluctuacted😂mkuu nimeandika kwa haraka sana sababu niko fluctuacted na siku ya leo sifanyi chochote zaid ni kupumzika tu nisamehe kwa mwandiko nimekuja huku kusaka faraja na wengine wataadithia km wamewah kutana na kitu km hich