Usinunue iphone 13

Hiyo kesho ni ya Mungu sio yako. Don’t live in the future!
iPhone mtu asiyekuwa na uwezo wa kuinunua lazima awachukie walio na simu hizo lakini ukweli ni kuwa hata yeye anapenda awe nayo!
yaani mimi nimchukie mtu anyetumia I phone 7 ya laki nne ??

we dishi limeyumba
 
Kabisa mkuu
 
Kwani kuna mahala nimesema hela za mtu zisitumike ama nimezuia watu kutumia hela zao?

Kwa ulichokiandika mimi na wewe nani dogo? Umedhihirisha wazi kwamba wewe ni dogo kiakili, hata kama ukiwa mkubwa kiumri basi ni kubwa jinga.
Inakuuma sana dogo.

Hunipangii cha kuandika.

Endelea kuifukuzia bila kuchoka labda utapata ya urithi au mchina atakupiga tafu
 
Aisee apple ni wajanja sana

Mabadiliko ni madogo sana kwa iPhone 13

Bei yake iko juu sana

Nimeskiliza kwa makin uchambuz wake

Kwa kifup hakuna jipya

MAMBO MAPYA NDANI YA IPHONE 13
View attachment 1943222

Watabadilisha everything lakini hawataifikia samsung kwa ubora, and ctashawishika kuipenda iphotakataka na kuiacha brand kubwa duniani SAMSUNG πŸ™‚ nyie endeleeni na macho matatu aka bajaji.
 
Wakati nyie mnalialia na Malalamiko kibao angalieni wenzenu
 
Simu ni kama portable computer siku hizi, unaweka CV, driving licence, documents zako zote za muhimu. Picha za familia na matukio mengine.
Kuiamini simu kuweka vitu nyeti bado sana! ni bora nivijaze google drive , mda wowote simu inakusaliti. Na google deive naipata hata kwenye tecno p3πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜†πŸ˜†

Wengi wanao taka storage kubwa kwenye simu ukiwauliza utawasikia kuweka movie πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… halafu ukitizama mwaka mzima katumia 10GB OUT OF 1TB
 
Kuna
Picha za harusi na kipaimara na ubatizo zote unahifadhi kwenye simu
 
Sijawahi fikiri wala kuwa na hamu ya kumiliki iphone Hata Kidogo Hizi simu hazinifai kabisi Too much Complicated Kitaa tunaziita gate kali

Simu yangu Pendwa Google pixel Goja nijichange nivute 3XL
 
Sina mpango Wa kununua NA hainifai kwa matumizi HATA HIVYO SINA IYO PESA ASEE [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mil 4 mimi Huyo Nitoe hiy pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…