Usinunue iphone 13

Usinunue iphone 13

Hizo ndizo real priorities za maisha... Hapo una kausafiri kako hata kama unafuga kuku una uwezo wa kubeba kuku 20 ukampelekea mteja kwenye sherehe fasta, na hapo hapo simu ya kuwasiliana na wateja wako unayo. Siku umeshikwa na tumbo la kuhara na kutapika mpangaji mwenzio au rafiki yako fasta anatumia kigari chako kukukimbiza hospitali badala ya kuhangaika na boda boda au daladala...
Kabisa mkuu
 
Kwani kuna mahala nimesema hela za mtu zisitumike ama nimezuia watu kutumia hela zao?

Kwa ulichokiandika mimi na wewe nani dogo? Umedhihirisha wazi kwamba wewe ni dogo kiakili, hata kama ukiwa mkubwa kiumri basi ni kubwa jinga.
Inakuuma sana dogo.

Hunipangii cha kuandika.

Endelea kuifukuzia bila kuchoka labda utapata ya urithi au mchina atakupiga tafu
 
Aisee apple ni wajanja sana

Mabadiliko ni madogo sana kwa iPhone 13

Bei yake iko juu sana

Nimeskiliza kwa makin uchambuz wake

Kwa kifup hakuna jipya

MAMBO MAPYA NDANI YA IPHONE 13
View attachment 1943222

Watabadilisha everything lakini hawataifikia samsung kwa ubora, and ctashawishika kuipenda iphotakataka na kuiacha brand kubwa duniani SAMSUNG 🙂 nyie endeleeni na macho matatu aka bajaji.
 
Wakati nyie mnalialia na Malalamiko kibao angalieni wenzenu
IMG_20210918_222954.jpg
IMG_20210918_222954.jpg
 
Simu ni kama portable computer siku hizi, unaweka CV, driving licence, documents zako zote za muhimu. Picha za familia na matukio mengine.
Kuiamini simu kuweka vitu nyeti bado sana! ni bora nivijaze google drive , mda wowote simu inakusaliti. Na google deive naipata hata kwenye tecno p3😅😅😕😕😆😆

Wengi wanao taka storage kubwa kwenye simu ukiwauliza utawasikia kuweka movie 😅😅😅😅😅 halafu ukitizama mwaka mzima katumia 10GB OUT OF 1TB
 
Kuna

Picha za harusi na kipaimara na ubatizo zote unahifadhi kwenye simu
 
Sijawahi fikiri wala kuwa na hamu ya kumiliki iphone Hata Kidogo Hizi simu hazinifai kabisi Too much Complicated Kitaa tunaziita gate kali

Simu yangu Pendwa Google pixel Goja nijichange nivute 3XL
 
Hizo simu wapo watu wa aina nne..
1. Wale wanaojua kwanini inauzwa bei kubwa na wapo tayari kuilipia ili wapate kilichomo humo

2. Wale wanaojua kwanini inauzwa bei kubwa na hawapo tayari kulipia sababu hawana matumizi na kilichopo humo

3. Wale wasiojua kwann inauzwa bei kubwa ila ni watu wa mkumbo, fashion na wapo tayari kupoteza mengine ili awe nayo lakini hana matumizi ya msingi zaidi ya picha picha video na upuuzi unaofanana na hayo.

4. Wale wasiojua kwann inauzwa bei kubwa, wanashangaa kwann iuzwe hiyo bei.

Lifahamu kundi lako.
Sina mpango Wa kununua NA hainifai kwa matumizi HATA HIVYO SINA IYO PESA ASEE [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mil 4 mimi Huyo Nitoe hiy pesa
 
Back
Top Bottom