Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Mi sijui chochote.Upo lipi huenda nimelisahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sijui chochote.Upo lipi huenda nimelisahau
Mkuu hii inasaidia nini?Mimi ni hiki tu... 120hz ni tamu sana jamaa wa iphone walikuwa wanamiss kitu kizuri mno
yaani mimi nimchukie mtu anyetumia I phone 7 ya laki nne ??Hiyo kesho ni ya Mungu sio yako. Don’t live in the future!
iPhone mtu asiyekuwa na uwezo wa kuinunua lazima awachukie walio na simu hizo lakini ukweli ni kuwa hata yeye anapenda awe nayo!
Kabisa mkuuHizo ndizo real priorities za maisha... Hapo una kausafiri kako hata kama unafuga kuku una uwezo wa kubeba kuku 20 ukampelekea mteja kwenye sherehe fasta, na hapo hapo simu ya kuwasiliana na wateja wako unayo. Siku umeshikwa na tumbo la kuhara na kutapika mpangaji mwenzio au rafiki yako fasta anatumia kigari chako kukukimbiza hospitali badala ya kuhangaika na boda boda au daladala...
unauza movie au1TB ni kubwa kwako na sio kwangu. Na wala sijasema natumia kuhifadhia muvi. Nimesema kwa kazi ninazofanya nahitaji smartphone yenye storage capacity kubwa na iPhone ya 1TB inanifaa.
Usitake kujua nafanya kazi gani.
Picha mkuu!! Me napenda kupiga picha na simu yangu inapiga picha zenye ujazo mkubwa mpaka MB10
Mimi ni hiki tu... 120hz ni tamu sana jamaa wa iphone walikuwa wanamiss kitu kizuri mno
unauza movie au
hayo madocoment ya 1tb labda uwe mpiga picha
Watumiaji wa i phone ni wajinga wajinga sana
utasikia natumia i phone kwa ajili ya security
ukimuuliza anachoficha nini
hana zaidi za meseji za umalaya
ni wajinga tu
Okey, kuna wasiojua linaloendelea tujumlishe hapo.Mi sijui chochote.
Inakuuma sana dogo.Kwani kuna mahala nimesema hela za mtu zisitumike ama nimezuia watu kutumia hela zao?
Kwa ulichokiandika mimi na wewe nani dogo? Umedhihirisha wazi kwamba wewe ni dogo kiakili, hata kama ukiwa mkubwa kiumri basi ni kubwa jinga.
Mkuu hii inasaidia nini?
Kwa specs zilivyo, mimi naona i phone 13 zinaanzia 13 pro na 13 pro max... Sasa kama 4K yenyewe inaanzia hapo huko nchini hamna kituiPhone 13 min itakuwa na bei gani Kwa hapa bongo
Aisee apple ni wajanja sana
Mabadiliko ni madogo sana kwa iPhone 13
Bei yake iko juu sana
Nimeskiliza kwa makin uchambuz wake
Kwa kifup hakuna jipya
MAMBO MAPYA NDANI YA IPHONE 13
View attachment 1943222
Kuiamini simu kuweka vitu nyeti bado sana! ni bora nivijaze google drive , mda wowote simu inakusaliti. Na google deive naipata hata kwenye tecno p3😅😅😕😕😆😆Simu ni kama portable computer siku hizi, unaweka CV, driving licence, documents zako zote za muhimu. Picha za familia na matukio mengine.
KunaKuiamini simu kuweka vitu nyeti bado sana! ni bora nivijaze google drive , mda wowote simu inakusaliti. Na google deive naipata hata kwenye tecno p3😅😅😕😕😆😆
Wengi wanao taka storage kubwa kwenye simu ukiwauliza utawasikia kuweka movie 😅😅😅😅😅 halafu ukitizama mwaka mzima katumia 10GB OUT OF 1TB
Picha za harusi na kipaimara na ubatizo zote unahifadhi kwenye simuKuiamini simu kuweka vitu nyeti bado sana! ni bora nivijaze google drive , mda wowote simu inakusaliti. Na google deive naipata hata kwenye tecno p3😅😅😕😕😆😆
Wengi wanao taka storage kubwa kwenye simu ukiwauliza utawasikia kuweka movie 😅😅😅😅😅 halafu ukitizama mwaka mzima katumia 10GB OUT OF 1TB
Sina mpango Wa kununua NA hainifai kwa matumizi HATA HIVYO SINA IYO PESA ASEE [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mil 4 mimi Huyo Nitoe hiy pesaHizo simu wapo watu wa aina nne..
1. Wale wanaojua kwanini inauzwa bei kubwa na wapo tayari kuilipia ili wapate kilichomo humo
2. Wale wanaojua kwanini inauzwa bei kubwa na hawapo tayari kulipia sababu hawana matumizi na kilichopo humo
3. Wale wasiojua kwann inauzwa bei kubwa ila ni watu wa mkumbo, fashion na wapo tayari kupoteza mengine ili awe nayo lakini hana matumizi ya msingi zaidi ya picha picha video na upuuzi unaofanana na hayo.
4. Wale wasiojua kwann inauzwa bei kubwa, wanashangaa kwann iuzwe hiyo bei.
Lifahamu kundi lako.