Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Ndio kitu gani 😂😂😂 tv auAnataka aninunulie infinix eti[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kitu gani 😂😂😂 tv auAnataka aninunulie infinix eti[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Ahaaa hapo kwa kurekodi hii 13 inafaa sana si umeona inavyorekodi movieTunarekodi picha safi tukiwa jikoni tunapika au tunaosha vyombo sio chumbani
hivi siku hizi ni plug n play au hadi itunes iwe installed.Nitanunua kwasababu ya storage tu. Kazi zangu nahitaji storage kubwa na ndio iPhone ya kwanza kuwa na 1TB. Baada ya hapo sitanunua smartphone kwa miaka 10 ijayo labda niibiwe.
Iko vizuri ,fanya ujeAhaaa hapo kwa kurekodi hii 13 inafaa sana si umeona inavyorekodi movie
Kwa mtu asiye na uwezo wa kununua iPhone, kama ananunua ili aonekane anayo wakati muda mwingi iko offline hana bundle au anatuma sms za please call me au kukopa salio huyo kwa kweli nakubaliana na wewe. Na anadhalilisha brand.Hoja hapa sio kwa mwenye uwezo huyo aendelee.. ila mtu ni mkataufuta anaungaunga tu lisimu la bei ya mradi wa maana unaoleta fedha nyingi la nini si anunue simu simple tu hiyo fedha awekeze!?
Acha tu ndugu yangu[emoji2297]Ndio kitu gani [emoji23][emoji23][emoji23] tv au
Kwani kuna mahala nimesema hela za mtu zisitumike ama nimezuia watu kutumia hela zao?Hebu tuache wenye hela zetu zipate matumizi dogo
Mna hela au mnajishaua tu.Hebu tuache wenye hela zetu zipate matumizi dogo
Sipo kwenye makundi yote mbona!Hizo simu wapo watu wa aina nne..
1. Wale wanaojua kwanini inauzwa bei kubwa na wapo tayari kuilipia ili wapate kilichomo humo
2. Wale wanaojua kwanini inauzwa bei kubwa na hawapo tayari kulipia sababu hawana matumizi na kilichopo humo
3. Wale wasiojua kwann inauzwa bei kubwa ila ni watu wa mkumbo, fashion na wapo tayari kupoteza mengine ili awe nayo lakini hana matumizi ya msingi zaidi ya picha picha video na upuuzi unaofanana na hayo.
4. Wale wasiojua kwann inauzwa bei kubwa, wanashangaa kwann iuzwe hiyo bei.
Lifahamu kundi lako.
Inafika kipindi hata Kula nyama ni utajiri ni laanaUmaskini ni kitu kibaya sana..yaani mtu anaetumia Gadget ya $900 anaonekana tajiri na mpenda anasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787] Tatizo kuiga mkuu, kwenye maisha kama hujakaa chini na kuweka your own standards & guiding principles wewe utaishia kuruka ruka kama kitenesi to whichever you see...Watumiaji wa i phone ni wajinga wajinga sana
utasikia natumia i phone kwa ajili ya security
ukimuuliza anachoficha nini
hana zaidi za meseji za umalaya
ni wajinga tu
Kwa mtu asiye na uwezo wa kununua iPhone, kama ananunua ili aonekane anayo wakati muda mwingi iko offline hana bundle au anatuma sms za please call me au kukopa salio huyo kwa kweli nakubaliana na wewe. Na anadhalilisha brand.
iPhone haitakiwi kuwa haina salio! Au haina Internet!
Sasa kama issue ni SMS na calls tu gharama kubwa ya nini, chukua kitorch.
Umeona hoja uliyoongea kiongozi yaani unaweza kuta hata hiyo high quality camera huna matumizi nayo kihivyo, sasa nini sasa linakuwa lengo la eti kununua simu ya milioni nne kwa kigezo cha camera? Kwani wewe ni muandishi wa habari? Kwani wewe ni professional photographer? Narudia tena tatizo ni kufuata mkumbo full stop.Aisee nyie ndo mnaojua kutumia simu, yaani hivyo vitu unavyovitaja sina hata kimoja ninachokizingatia. Hiyo camera yenyewe ninaweza kukaa mwezi sijajipiga picha, yaani mtu kama mimi kununua simu ya million ni kufuata mkumbo tu [emoji3]
Sasa njia nzuri ya kuhifadhi picha si ni Google drive?Picha mkuu!! Me napenda kupiga picha na simu yangu inapiga picha zenye ujazo mkubwa mpaka MB10
Kisu kimegusa mfupa hahahaaaa... Huwezi kuwa na priority ya kumiliki simu ya milioni nne huku unadandia daladala, wakikuibia utatuongezea wagonjwa kule mirembe sawa?We ndo popoma namba moja bladfacken,mtu kunnua kitu anakipenda ni swala la priority ata kama hana vingine vya muhimu
Upo lipi huenda nimelisahauSipo kwenye makundi yote mbona!
Hizo ndizo real priorities za maisha... Hapo una kausafiri kako hata kama unafuga kuku una uwezo wa kubeba kuku 20 ukampelekea mteja kwenye sherehe fasta, na hapo hapo simu ya kuwasiliana na wateja wako unayo. Siku umeshikwa na tumbo la kuhara na kutapika mpangaji mwenzio au rafiki yako fasta anatumia kigari chako kukukimbiza hospitali badala ya kuhangaika na boda boda au daladala...Kaazi kweli,si bora nikununulie infinix na passo au vitz,au unaonaje hiyo