Usinunue kiwanja au shamba lenye mbuyu mkubwa kama huna uwezo wa kukabiliana na changamoto zake

Kuwahamisha ni gharama, bifu lake ni kama la loliondo na wawekezaji
Inabidi michakato
Mie ninao shambani Dodoma..

Lakini pia mwaka huu nimegundua visanga haviishi hapa kwangu nilinunua eneo kulikuwa na makaburi mawili, baada ya visanga kunizidi mwaka huu nimewafuata ndugu waje wayahamishe wameyahamisha tayari ilatumepatwa na tukio kubwa hatari sana kila nilienda kwenye maombezi naambiwa Pana madha ahu ya muda mrefu nimeiondoa kienyeji....
Hivyo wanakuja kuidai kwa visasi wenye madhabahu yao yaani yale makaburi kumbe kilikuwa lango Lao na mafekeche yalikuwa yanafanyika pale, last month tumefukua fuvu nyuma ya mavanda ya Kuku...
Sina mpango wa kuuza nyumba lakini hebu nipe maujanja jinsi ya kukabiliana na hili zaga.
 
Samico hamja chacha, nyanja zote mpo.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…