Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hv kwenye karne hii bado kuna watu wanasumbuliwa na kupendwa? /mapenzi?Wale viherehere wa kuoa nawasanua zingatieni ushauri huu ukitaka kuoa bikra hakikisha unaoa anaekupenda haswaa ila ukitumia ushawishi wa kiwaki huko mbele utauona moto, mwanamke ana evolve kwenye nyanja zote
Wadiz
Nimeacha kuzitafuta bikra, maana nimegundua hata huko la tatu B hazipo, sembuse mwenye umri wa kuolewa..!!
ππππππNimeacha kuzitafuta bikra, maana nimegundua hata huko la tatu B hazipo, sembuse mwenye umri wa kuolewa..!!
Wewe ni mavi hayo mastress umeyatoa wapiHv kwenye karne hii bado kuna watu wanasumbuliwa na kupendwa? /mapenzi?
Sasa ukioa,ukagundua hakupendi! Tatizo lipo wapi? Kwani dunia itaacha kuzunguka! Majinga huwa yanajinyonga!
Kama hii hatua haujapita, huwezi endelea!
Kama Mambo ya mapenzi bado, yanakupa shida! We ni bloodfucken kabisa, dunia Ina shida kibao, we unasumbuliwa na mapenzi!
screpa aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bikra zipi? Hizo mlizozitoboa mkaziacha?.kama mtoto wa drs la 6 ana boyfriend bikra ziko wapi...tafuta screpa yako iliyokuzimia mkae kwa kutulia..
JidanganyeUkioa bikra atake asitake atakupenda tu.
ni kweli maana wewe ni mwanaume wake wa kwanzaUkioa bikra atake asitake atakupenda tu.