Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora


[emoji28][emoji28] pole
 
Pole sana, wengi waliambulia kupata bidhaa tu
 
So hulipii ile fee fulan nimesahau jina lake, kule Uingereza naona wanalipa fee kabla hawajakupa pesa yao.
Hili ni investment firm siyo trading platform. Una trade na mtaji wa watu waliowekeza kwenye firm. Unaajiriwa kama trader, unalipwa mshahara. Na unapita bonuses na commission kutokana na faida ulioingiza. Ukija huku Ulaya ndoa utajua nini faida ya kuwa na hela. Tajiri huku kurudi chini ni ngumu sana. Maana siyo investment firms tu kuna hadi investment banks. Hizi taasisi zinawafanyia kazi watu wenye hela ndefu. Ni kama hedgefund za Marekani. Kwa huku mimi na wewe hatuwezi ku trade huko
 
Pole sana , ipo hivi huwezi acha kazi kabla hujapata pa kusimama mzee, ulitakiwa uwe profitable kwanza kuna process za kuacha kazi ili uwe full time trader sio kukurupuka,
Kwanza uwe na withdrawal ya mshahara wako wa mwezi kila wiki kwa miezi mitatu
Uwe consistency profitable with strong edge in the market

Yani kazi inajireplace automatic, mfano unalipwa 200€ kwa mwezi nawee una weza make 200€ consistency weekly balance bank io ya kutosha na Mt4 pia, calculate total 5y salary make it in trading keep in the bank acc then quit ukweli hakuna zaid ya trading kiufupi umedandia gari kwa mbele hujui kutrade period. Tafuta mwalimu
 
We jamaa, Darasani ulikuwa uko vizuri kwenye mahesabu. Shukrani nimekupata japo too late
 
Nimeona nifungue Uzi mwingine.

Usiombe kuacha kazi, kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijiji Tabora
 
Kweli au unatukamata?
Kichwa cha habari kilikosewa kidogo, so Kupata mwendelezo, sasa Uzi wangu umepelekwa huku. Usiombe kuacha kazi, kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijiTabora
Daah kumbe ina muendelezo.
Mzee season ya 3 lini
Kesho mapema,
Ila Kichwa cha habari kilikosewa kidogo, so Kupata mwendelezo, sasa Uzi wangu umepelekwa huku. Usiombe kuacha kazi, kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijiTabora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…