Bora hujaacha chuo.Hao jamaa wapuuzi sana. Kuna mjamaa mmoja naye alikuwa anatupigia simu na muda mwingie anatuambia kwenye group la WASUASO tuache kazi ili atupe dili kwenye Forex. Tulikuwa tunamuwakia kweli hadi Alamitos kwenye group.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hujaacha chuo.Hao jamaa wapuuzi sana. Kuna mjamaa mmoja naye alikuwa anatupigia simu na muda mwingie anatuambia kwenye group la WASUASO tuache kazi ili atupe dili kwenye Forex. Tulikuwa tunamuwakia kweli hadi Alamitos kwenye group.
Yaani hapana kwakweli siwezi forex kabisa kabisa halafu pia forex sio ya Kila mtu Kama zilivyo biashara zingineKwakweli inahitaji moyo mgumu.
Kweli niliona Uzi wako pale juu.Yaani hapana kwakweli siwezi forex kabisa kabisa halafu pia forex sio ya Kila mtu Kama zilivyo biashara zingine
Pole sana mkuu
Khasante mkuuPole sana mkuu
Kwani bado unaendelea na fx?Khasante mkuu
Kaka hapana siwezi kuhimili mtanizika mkiwa bado mnanihitajiIla unatamani kuingia sokoni?
Upo huo mkuu??Kweli niliona Uzi wako pale juu.
Upo page sijui ya ngapi, fatilia huko nyuma.Upo huo mkuu??
Hii kitu achana nacho, kuna vitu vingi vya kufanya.Kaka hapana siwezi kuhimili mtanizika mkiwa bado mnanihitaji
Unaweza niuliza hapa tu.Upo huo mkuu??
Nilitaka nikuombe namba ili nimpe huyu rafiki yangu muwe mnaongeaUpo page sijui ya ngapi, fatilia huko nyuma.
Nilidhani ulitaka uje PM uniulize kuhusu trading.
Kweli kabisa na sio lazima wote tutajirikeHii kitu achana nacho, kuna vitu vingi vya kufanya.
Anhaa , although identity yangu itakuwa wazi.Nilitaka nikuombe namba ili nimpe huyu rafiki yangu muwe mnaongea
Kwani ye anatrade currencies ama volatilities?Kweli kabisa na sio lazima wote tutajirike
Sijui hili kwakweli ila naonaga hesabu za $$$Kwani ye anatrade currencies ama volatilities?
Muulize.Sijui hili kwakweli ila naonaga hesabu za $$$
Basi usiwaze mkuuAnhaa , although identity yangu itakuwa wazi.
unazingua acha porojoNilikuwa nimechoka na maisha ya kufanya kazi saa nane kwa siku katika ofisi flani hivi pale posta jijini Dar es Salaam. Ndoto yangu ilikuwa kubwa zaidi kuliko kiti changu cha ofisini na mshahara wangu wa kila mwezi. Nilikuwa na hamu kubwa ya kujaribu kitu kipya, kitu ambacho kingenipa uhuru wa kifedha na fursa za kutimiza ndoto zangu.
Nilitambua kwamba kwenye ulimwengu huu wa kisasa, forex ilikuwa njia inayopendelewa zaidi ya kuwekeza na kupata faida kubwa. Nilivutiwa na hadithi za watu waliojikomboa kutoka kwenye mikono ya ajira na kuwa mabosi wa maisha yao wenyewe kupitia biashara ya forex. Hivyo basi, niliamua kuwa mmoja wao.
Nilipofikiria juu ya kuacha kazi yangu na kujitosa kwenye ulimwengu wa forex, moyo wangu ulijaa msisimko na wasiwasi. Nilisoma vitabu vingi na kujiandaa kwa miezi kadhaa kabla ya kufanya uamuzi wa mwisho. Nikaamua kuwa huu ndio wakati wangu wa kujaribu kitu kipya, wa kujiletea mabadiliko kwenye maisha yangu.
Kuacha kazi haikuwa uamuzi rahisi, lakini nilihisi kwamba huu ndio wakati sahihi wa kujitolea kwenye safari ya forex. Nilijiandaa kihisia na kifedha, nikiwa na matumaini kwamba ningeweza kugeuza ndoto zangu kuwa ukweli. Niliamua kufungua akaunti yangu ya forex na kutumia akiba yangu kama mtaji wa kuanzia. Safari yangu ya kuelekea uhuru wa kifedha ilikuwa imeanza.
Husikose sehemu inayofuata ...
Msidanganyane nimetoa documentary hapo kuwa best trader kwenye best investment firms anawin 50 - 55 percent ya trade zake zote. Yaani kama wewe toka uanze Forest umepoteza 45- 50 percent tu ya hela yako leta data zako nikutafutie kazi huku Frankfurt kwenye investment firms.Maana hao watu wanatafutwa balaa.Kuna kitu itakua ulikosea mkuu, ni PM nikuelekwze jinsi ya kuanza tena