Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Forex hii ingekuwa iko two sided kama coin, buy and sell kama tunavyo aminishwa kwenye makaratasi wengi wangetoboa.Lakini niwazi kwamba hii kitu imelalia upande mmoja haijalishi upande gani umechagua italalia tu kwenye loss
 
Ila mkuu tafuta kwanza elimu hata ya mwaka mmoja, usiingie kichwakichwa.

Kwasasa hali za stocks ni mbaya kwasababu ya interest rates ambazo FED wanaziraise, ila wametoa greenlight kuwa watapunguza riba by 2024.
Asante sana, ngoja nianze kufuatilia mdogomdogo
 
Bora yule anaepata laki 5 anaenda kula Bata na mademu ,kumwagilia moyo weekend. Kuliko kuweka doka 200 forex utegemee itazaa. Yaani kwenye dola 100 kuona negative 90 nikugusa tu lakini kuona profit hata dola 10 ni kivumbi
Forex hii ingekuwa iko two sided kama coin, buy and sell kama tunavyo aminishwa kwenye makaratasi wengi wangetoboa.Lakini niwazi kwamba hii kitu imelalia upande mmoja haijalishi upande gani umechagua italalia tu kwenye loss
Yaani una account ya Dola 100 alafu unatrade kama mtu mwenye account ya 10K?
Lazima uliwe kichwa.
 
Samahani naomba tubadilishane contact pm please. I can see you're having a lot of funny. Then we can talk about trading please hakuna mitongazano.
Semaa inaonekana unapenda mno kuiwahi hela yako unaila kabla haijaliwa na wengine
Mkuu Mimi sio trader na sijui chochote kuhusu trading Ile my best friend (ME) ndo anajua hayo mambo Mimi sijui kitu kabisaaaaaa
 
Yes mkuu amefariki mwaka huu, ana msemo wake mkubwa sana " When the market wants to go up, it must go down first, it must go to the orders, the professionals would rather die than chase the markets".

" The good trade is a hard trade".
"The best trades occur after the masses have been stopped out".

May this great trader rest in peace.
Umemza madini yake kinyama. Yeye anaweka orders zake pale masses Wana place sl. Ni mentor to tom
 
Back
Top Bottom