HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Tobaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafanya makosa. Unakeshaje kwenye screen wakati big players wanatumia economic data kuamua soko liende wapi?Bora nilime tumbaku sio forex sijui forest Mana nimeona kijana TIA anakesha mbele ya screen miezi ila kwa sasa ni saidia Fundi na hataki kuskia hiyo midude.
Samahani naomba tubadilishane contact pm please. I can see you're having a lot of funny. Then we can talk about trading please hakuna mitongazano.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilimwambia itoe hiyo kwanza tuile hiyo ingine ata ikifa itajijua huko
Baba kuvamia game hiyo. Baada ya kuliwa akili ikarudi.Anafanya makosa. Unakeshaje kwenye screen wakati big players wanatumia economic data kuamua soko liende wapi?
Huyu David paul PhD amefariki mwaka huu. kuna concepts zake ninazo nazitumia vitani. Jamaa Yuko sincerely and transparencyKuna watu inawaendesha maisha yao.
Kuna watu wamekuwa mabilionea na mamilionea kupitia forex trading, wakina Paul Tudor Jones, George Soros, Kathy Lien, Jesse Livermore (R.I.P) na Dr. David Paul(R.I.P)
Ile haipaswi kuvamia, inapaswa uifanyie tafiti. Trendline haimove soko, Wala support and resistance. Kinachomove soko ni world events na economic data. Ni mwendo wa panic, fear and greed.Baba kuvamia game hiyo. Baada ya kuliwa akili ikarudi.
Nilijipa majina mengi. Siyo ilo tu.
Asante sana.Newyork stock exchange ni Pana. Unafanya investment ya kununua hisa za makampuni kama Tesla, Facebook, Twitter, Netflix, Amazon n.k.
Unanunua hisa hizo na kuziacha zimove muda mrefu, uzuri wa Newyork stock exchange kuna liquidity na volatility, wanaoweka pesa na kuziuza ni wengi ukilinganisha na Dar Es Salaam stock exchange so ikitoka habari za earnings, inamove kwa kiasi kikubwa. Ili uwekeze unahitaji upate broker au wakala.
Pia unaweza wekeza pesa zako kupitia bonds(hatifungani), kuna UTT na hata CRDB wanayo Kijani Bonds na returns unapokea Kila mwaka. Mwaka huu ndo ulikuwa mwaka bora wa kununua hatifungani kutokana na kushuka kwa shilingi ya Kitanzania.
Pia unaweza wekeza kupitia Dar Es Salaam stock exchange, kampuni ya NMB chini ya C.E.O mwanamke amekuwa akileta positive returns kila mwaka, unaweza wekeza NMB. Ili uwekeze unahitaji upate broker au wakala.
Yes mkuu amefariki mwaka huu, ana msemo wake mkubwa sana " When the market wants to go up, it must go down first, it must go to the orders, the professionals would rather die than chase the markets".Huyu David paul PhD amefariki mwaka huu. kuna concepts zake ninazo nazitumia vitani. Jamaa Yuko sincerely and transparency
Mmmh ok.Mkuu naomba Nije PM
Inatosha hata kuiishia hapo mkuu. Yote kuhusu forex inajulikana. Hivyo pambana nduguNilikuwa nimechoka na maisha ya kufanya kazi saa nane kwa siku katika ofisi flani hivi pale posta jijini Dar es Salaam. Ndoto yangu ilikuwa kubwa zaidi kuliko kiti changu cha ofisini na mshahara wangu wa kila mwezi. Nilikuwa na hamu kubwa ya kujaribu kitu kipya, kitu ambacho kingenipa uhuru wa kifedha na fursa za kutimiza ndoto zangu.
Nilitambua kwamba kwenye ulimwengu huu wa kisasa, forex ilikuwa njia inayopendelewa zaidi ya kuwekeza na kupata faida kubwa. Nilivutiwa na hadithi za watu waliojikomboa kutoka kwenye mikono ya ajira na kuwa mabosi wa maisha yao wenyewe kupitia biashara ya forex. Hivyo basi, niliamua kuwa mmoja wao.
Nilipofikiria juu ya kuacha kazi yangu na kujitosa kwenye ulimwengu wa forex, moyo wangu ulijaa msisimko na wasiwasi. Nilisoma vitabu vingi na kujiandaa kwa miezi kadhaa kabla ya kufanya uamuzi wa mwisho. Nikaamua kuwa huu ndio wakati wangu wa kujaribu kitu kipya, wa kujiletea mabadiliko kwenye maisha yangu.
Kuacha kazi haikuwa uamuzi rahisi, lakini nilihisi kwamba huu ndio wakati sahihi wa kujitolea kwenye safari ya forex. Nilijiandaa kihisia na kifedha, nikiwa na matumaini kwamba ningeweza kugeuza ndoto zangu kuwa ukweli. Niliamua kufungua akaunti yangu ya forex na kutumia akiba yangu kama mtaji wa kuanzia. Safari yangu ya kuelekea uhuru wa kifedha ilikuwa imeanza.
Husikose sehemu inayofuata ...
Sources za brokerage , nenda kwenye website Yao ya Dar Es Salaam stock exchange, utapata infos za kutosha.Asante sana.
Kama unalink au maelezo au namna ya kupata brockers au source yoyote ya hapo newyork stock exchange unaweza kuniinbox nifanye study kidogo. UTT nipo pia japo ndio naanza mdogomdogo
Noma sana 95% wanalose money.Inatosha hata kuiishia hapo mkuu. Yote kuhusu forex inajulikana. Hivyo pambana ndugu
Ila mkuu tafuta kwanza elimu hata ya mwaka mmoja, usiingie kichwakichwa.Asante sana.
Kama unalink au maelezo au namna ya kupata brockers au source yoyote ya hapo newyork stock exchange unaweza kuniinbox nifanye study kidogo. UTT nipo pia japo ndio naanza mdogomdogo
Njoo tu.Mkuu naomba Nije PM
Yes bro. Fanya kitu unachokielewa maana ni jambo sahihi.Bora kuuza karanga kuliko kupoteza muda
Kuna dogo ni kichwa ngumuuu, akianza kuisifia forex sasaaa[emoji134][emoji134][emoji134]
Ila uhalisia wa maisha yake haufanani na anayoongelea. Soon naona anaelekea kuwa "selemani".