Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
We mbona umeuacha uzi wako?HUSIKOSE KUPOST
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mbona umeuacha uzi wako?HUSIKOSE KUPOST
Huyo anawaagiziaga maboya vitu kutoka mambele basi ukikaa vibaya anakupiga, afu ana saundi za kishuaHahah anapiga forex huku anatepeli!
Pana mtu aliniambia nibet michango yangu ya harusi kwa kuuziwa saa sijui ingekuwajeAisee hii ngoma alinialika jamaa yangu ninaemheshimu sana, walipoanza training kama saa 11.30 jioni nikasikia good morning nikawa scared, baada ya hapo hakuniona tena.
Appreciate sana mkuu.Kwenye huu uzi The Best Of All Time ndo naona anauelewa na FX vizuri. Wengine wote mnapuyanga tu.
View attachment 2780303
See this beautiful usdchf movement today on 5min chat
Aisee kipindi hiko bana
Ilikuwa hot humu ndani
Mi Kuna dada alinishawishi(nje ya jf)
Ila nilikataa kata kata,sbb nilikuwa nishawahi kuingia forever living huko nikaishia kupoteza Hela yangu tu[emoji1787],,laki 7 those days ilikuwa nyingi mnooonikaishia kutumia mwenyewe zile bidhaa
Ila kiukweli bidhaa zao ni nzuri sa, quality ndo maana ni gahrama,,iwe za ngozi , nywele etc
Huyo anawaagiziaga maboya vitu kutoka mambele basi ukikaa vibaya anakupiga, afu ana saundi za kishua
Pole sana, wengi waliambulia kupata bidhaa tuAisee kipindi hiko bana
Ilikuwa hot humu ndani
Mi Kuna dada alinishawishi(nje ya jf)
Ila nilikataa kata kata,sbb nilikuwa nishawahi kuingia forever living huko nikaishia kupoteza Hela yangu tu🤣,,laki 7 those days ilikuwa nyingi mnooonikaishia kutumia mwenyewe zile bidhaa
Ila kiukweli bidhaa zao ni nzuri sa, quality ndo maana ni gahrama,,iwe za ngozi , nywele etc
Hili ni investment firm siyo trading platform. Una trade na mtaji wa watu waliowekeza kwenye firm. Unaajiriwa kama trader, unalipwa mshahara. Na unapita bonuses na commission kutokana na faida ulioingiza. Ukija huku Ulaya ndoa utajua nini faida ya kuwa na hela. Tajiri huku kurudi chini ni ngumu sana. Maana siyo investment firms tu kuna hadi investment banks. Hizi taasisi zinawafanyia kazi watu wenye hela ndefu. Ni kama hedgefund za Marekani. Kwa huku mimi na wewe hatuwezi ku trade hukoSo hulipii ile fee fulan nimesahau jina lake, kule Uingereza naona wanalipa fee kabla hawajakupa pesa yao.
Kwani goodmorning Kuna pesa ya chap chap?Yeah...ila pesa ya chap chap nayo inabrainwash kama ze Mwamposaz......
Mapema kesho. Wajulishe na wengineItaendelea
We jamaa, Darasani ulikuwa uko vizuri kwenye mahesabu. Shukrani nimekupata japo too latePole sana , ipo hivi huwezi acha kazi kabla hujapata pa kusimama mzee, ulitakiwa uwe profitable kwanza kuna process za kuacha kazi ili uwe full time trader sio kukurupuka,
Kwanza uwe na withdrawal ya mshahara wako wa mwezi kila wiki kwa miezi mitatu
Uwe consistency profitable with strong edge in the market
Yani kazi inajireplace automatic, mfano unalipwa 200€ kwa mwezi nawee una weza make 200€ consistency weekly balance bank io ya kutosha na Mt4 pia, calculate total 5y salary make it in trading keep in the bank acc then quit
Nimeona nifungue Uzi mwingine.Mkuu waambie mods wa rekebishe headings maana Kuna spelling umechapia sababu ya kuto kufanya proof reading....
All in all,
Last month mdogo angu na yeye ame quit job ila yeye anaanza kujiajir kwenye field yake ya technology
Ni hisia ngumu sana Kwa watu wengine hasa hasa kama una wategemezi wengi...
Kichwa cha habari kilikosewa kidogo, so Kupata mwendelezo Uzi wangu umepelekwa huku. Usiombe kuacha kazi, kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijiTaboraEeeh
Kichwa cha habari kilikosewa kidogo, so Kupata mwendelezo, sasa Uzi wangu umepelekwa huku. Usiombe kuacha kazi, kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijiTaboraKweli au unatukamata?
Kesho mapema,Daah kumbe ina muendelezo.
Mzee season ya 3 lini