Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Hivi kuna mtu anaweza kufanya biashara ya hasara kwa miaka mitano? Acha uongo kuna watu wanapata faida kwenye forex, na kuna wanaopata hssara vile vile
 
siwez kuacha forex ila siwezi ifanya kama source of income, kuna siku nilideposit 50$ ndani ya siku nne nina 2250$ nikatoa 1500$ iliyobaki ilipigwa ndani ya masaa 2, nikatulia kwanza maana ile 1500 nilishaifanyia kazi nyingine,

kuna siku mtoto wa sister akaniomba 500k nikasema hii nitaipata kwenye forex, nikadeposit 20$ ndani ya week moja nina 572$ nikatoa 500 nikamtumia dogo 700k,

FOREX SIACHI,
 
20$ to 500$ ndani ya wiki?
Hiyo ni forex ama synthetic indices?
 
Wenzeko ndoto za kuja mjini huisha wakiwa poini na wakija mjini huwapi habari za mafanikio ya haraka, ila wewe inaonekana ulikuja mjini bila kujua mjini kuna nini
 
N
Mi naongelea mt4. kwa iyo mkuu inamaanisha wote wanaotrade oonline kila siku wanapata hasara. yaani account zao wote wenye mt4 zinasoma loss loss loss loss loss mpaka mwisho, ?
nami ndo namshangaa apo tu ,saw loss zipo ila tunazimanage mwisho wa siku tunamaliza na faida au loss kidogo
 
the big reason nlikwambia weka trade history yako ya mwezi uliopita, ni inaonyesha overall ulichofanya kwa mwezi uliopita both profit and loss

the big reason nlikwambia weka trade history yako ya mwezi uliopita, ni inaonyesha overall ulichofanya kwa mwezi uliopita both profit and loss
 

Attachments

  • Screenshot_20231019-151824.jpg
    51.8 KB · Views: 23
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…