Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

N

nami ndo namshangaa apo tu ,saw loss zipo ila tunazimanage mwisho wa siku tunamaliza na faida au loss kidogo
nadhan amna haja ya kuongea sana mt4 apo kuna sehem ya trade history weka tu ya mwezi uliopita wala hatutaki miezi ingine. nataka iwe fundisho kwa wote wanaokuchukulia serious
 
siwez kuacha forex ila siwezi ifanya kama source of income, kuna siku nilideposit 50$ ndani ya siku nne nina 2250$ nikatoa 1500$ iliyobaki ilipigwa ndani ya masaa 2, nikatulia kwanza maana ile 1500 nilishaifanyia kazi nyingine,

kuna siku mtoto wa sister akaniomba 500k nikasema hii nitaipata kwenye forex, nikadeposit 20$ ndani ya week moja nina 572$ nikatoa 500 nikamtumia dogo 700k,

FOREX SIACHI,
Kinachokuponza ni over risk na greedy
 
Usianze, the markets are 100% rigged, ukishakubaliana na hilo pamoja na uncertainties zake zama tu.

Ila kama we mwoga, zama kwenye Newyork stock exchange ama Dar Es Salaam stock exchange, tafuta stocks zinazofanya vizuri kwa Sasa although kwa Newyork kule wako bearish kinyama so nahisi mpaka December.
Ukiacha ukolo mkuu unakuaga na Akili fresh 😀😀
 
Ile haipaswi kuvamia, inapaswa uifanyie tafiti. Trendline haimove soko, Wala support and resistance. Kinachomove soko ni world events na economic data. Ni mwendo wa panic, fear and greed.
Wanachofanya big players huwa wanajua data, so huwa wanamake false moves kufanya promotions, promotions hizi hufanywa na mabrokers kuwaita traders wainvest wapate pesa za chapchap, wakati si kweli .

Pesa inapatikana kwa jasho.
Mkuu ,una kitu ,utafika mbali ,komaa
 
Nimekuwekea kbisaa verified trading history, mt4 naweza weka hata cent acc usikariri mt4 trader makini mwombe verified history from Myfxbook maana hata investor hawana time na mt4 wataingia myfxbook wakiona inapendeza unapewa fund
mzee, i amnt out of my mind kukwambia ivo
 
Oyaa, una vitabu au notes zake uzitupie humu ?
Yes mkuu amefariki mwaka huu, ana msemo wake mkubwa sana " When the market wants to go up, it must go down first, it must go to the orders, the professionals would rather die than chase the markets".

" The good trade is a hard trade".
"The best trades occur after the masses have been stopped out".

May this great trader rest in peace
 
Ile haipaswi kuvamia, inapaswa uifanyie tafiti. Trendline haimove soko, Wala support and resistance. Kinachomove soko ni world events na economic data. Ni mwendo wa panic, fear and greed.
Wanachofanya big players huwa wanajua data, so huwa wanamake false moves kufanya promotions, promotions hizi hufanywa na mabrokers kuwaita traders wainvest wapate pesa za chapchap, wakati si kweli .

Pesa inapatikana kwa jasho.

poor you
 
Nimekuwekea kbisaa verified trading history, mt4 naweza weka hata cent acc usikariri mt4 trader makini mwombe verified history from Myfxbook maana hata investor hawana time na mt4 wataingia myfxbook wakiona inapendeza unapewa fund
just do as i say nna maaana yangu kubwa tu
 
Back
Top Bottom