stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Ukitaka kugombana na mentor mwambie aweke trade history yake🤣🤣🤣😆
hawa bila kuwanyoosha hawaendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka kugombana na mentor mwambie aweke trade history yake🤣🤣🤣😆
N
nami ndo namshangaa apo tu ,saw loss zipo ila tunazimanage mwisho wa siku tunamaliza na faida au loss kidogo
nadhan amna haja ya kuongea sana mt4 apo kuna sehem ya trade history weka tu ya mwezi uliopita wala hatutaki miezi ingine. nataka iwe fundisho kwa wote wanaokuchukulia seriousN
nami ndo namshangaa apo tu ,saw loss zipo ila tunazimanage mwisho wa siku tunamaliza na faida au loss kidogo
Labda hatumii mt4 platform kutrade.nadhan amna haja ya kuongea sana mt4 apo kuna sehem ya trade history weka tu ya mwezi uliopita wala hatutaki miezi ingine. nataka iwe fundisho kwa wote wanaokuchukulia serious
Labda hatumii mt4 platform kutrade.
Kuna trading platforms nyingi.
Nimekuwekea kbisaa verified trading history, mt4 naweza weka hata cent acc usikariri mt4 trader makini mwombe verified history from Myfxbook maana hata investor hawana time na mt4 wataingia myfxbook wakiona inapendeza unapewa fundmbna kapost apo mt4
Kinachokuponza ni over risk na greedysiwez kuacha forex ila siwezi ifanya kama source of income, kuna siku nilideposit 50$ ndani ya siku nne nina 2250$ nikatoa 1500$ iliyobaki ilipigwa ndani ya masaa 2, nikatulia kwanza maana ile 1500 nilishaifanyia kazi nyingine,
kuna siku mtoto wa sister akaniomba 500k nikasema hii nitaipata kwenye forex, nikadeposit 20$ ndani ya week moja nina 572$ nikatoa 500 nikamtumia dogo 700k,
FOREX SIACHI,
hlo nalijua na nimeshindwa kuacha, ndo maana najilipuaga, soko likienda upande wangu nashangilia likienda kinyume nalia natulia.Kinachokuponza ni over risk na greedy
Ukitaka kugombana na mentor mwambie aweke trade history yake
Ila unaweza kua chiziKufa ufi ila chamoto utakiona
Ukiacha ukolo mkuu unakuaga na Akili fresh 😀😀Usianze, the markets are 100% rigged, ukishakubaliana na hilo pamoja na uncertainties zake zama tu.
Ila kama we mwoga, zama kwenye Newyork stock exchange ama Dar Es Salaam stock exchange, tafuta stocks zinazofanya vizuri kwa Sasa although kwa Newyork kule wako bearish kinyama so nahisi mpaka December.
Mkuu ,una kitu ,utafika mbali ,komaaIle haipaswi kuvamia, inapaswa uifanyie tafiti. Trendline haimove soko, Wala support and resistance. Kinachomove soko ni world events na economic data. Ni mwendo wa panic, fear and greed.
Wanachofanya big players huwa wanajua data, so huwa wanamake false moves kufanya promotions, promotions hizi hufanywa na mabrokers kuwaita traders wainvest wapate pesa za chapchap, wakati si kweli .
Pesa inapatikana kwa jasho.
mzee, i amnt out of my mind kukwambia ivoNimekuwekea kbisaa verified trading history, mt4 naweza weka hata cent acc usikariri mt4 trader makini mwombe verified history from Myfxbook maana hata investor hawana time na mt4 wataingia myfxbook wakiona inapendeza unapewa fund
Yes mkuu amefariki mwaka huu, ana msemo wake mkubwa sana " When the market wants to go up, it must go down first, it must go to the orders, the professionals would rather die than chase the markets".
" The good trade is a hard trade".
"The best trades occur after the masses have been stopped out".
May this great trader rest in peace
Ile haipaswi kuvamia, inapaswa uifanyie tafiti. Trendline haimove soko, Wala support and resistance. Kinachomove soko ni world events na economic data. Ni mwendo wa panic, fear and greed.
Wanachofanya big players huwa wanajua data, so huwa wanamake false moves kufanya promotions, promotions hizi hufanywa na mabrokers kuwaita traders wainvest wapate pesa za chapchap, wakati si kweli .
Pesa inapatikana kwa jasho.
just do as i say nna maaana yangu kubwa tuNimekuwekea kbisaa verified trading history, mt4 naweza weka hata cent acc usikariri mt4 trader makini mwombe verified history from Myfxbook maana hata investor hawana time na mt4 wataingia myfxbook wakiona inapendeza unapewa fund
Kupoteza hela ndefu kiasi hicho inaumiza sanaIla unaweza kua chizi
SEMA kama umeshawahi kutoa Zaidi ya hiyo unazoea
Sina mkuu ana YouTube channel yake inaitwa vector vest.Oyaa, una vitabu au notes zake uzitupie humu ?
Kwa kweli mdogomdogo.Mkuu ,una kitu ,utafika mbali ,komaa