stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
We endelea kuamini hatupati pesa ivo ivo sipo kwa ajili ya kubadilisha misimamo ya watu, vitu vingi vya kufanya vipo h
tatizo lenu mnaongea sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We endelea kuamini hatupati pesa ivo ivo sipo kwa ajili ya kubadilisha misimamo ya watu, vitu vingi vya kufanya vipo h
Hata nikikupa inakusaidia nini
Mi nakuonyesha ninachokifanya sasa hivi
Isubiri hapo hapomm sio mjinga kuuliza trade history: kama huezi kuweka trade history basi funga tu mdomo
let me break it down for you:
1) there is nothing like online forex, if you thought mt4 ni forex pole mlipigwa: what your doing is only betting on a broker and not trading because there is nothing like a global forex market
View attachment 2782499
View attachment 2782500
2) There is no one who makes a living from mt4 betting, and it will never happen! the only people who make a living are those who sell courses or a firm called HEDGE FUND
3) Forex is only traded in physcical cash, apart from hedge funds and every other institution trades forex but NOT to make money
4) as of 2023 only 0.5% of global traders can turn a profit annually
![]()
Why 99% of traders lose money?
While (aimlessly) scrolling through my LinkedIn feed, I stumbled upon a quote from the New Testament- “to those who have everything, more will be given; from those who have nothing, everything will be taken.” (Matthew 25:29) I read it thrice just to understand it better and I immediately thought towww.linkedin.com
5) adding up this will help you
View: https://www.youtube.com/watch?v=w6JXZ3GzSCQ&t=337s&pp=ygUUYmJjIHRoZSBiaWdnZXN0IHNjYW0%3D
20$ to 500$ ndani ya wiki?siwez kuacha forex ila siwezi ifanya kama source of income, kuna siku nilideposit 50$ ndani ya siku nne nina 2250$ nikatoa 1500$ iliyobaki ilipigwa ndani ya masaa 2, nikatulia kwanza maana ile 1500 nilishaifanyia kazi nyingine,
kuna siku mtoto wa sister akaniomba 500k nikasema hii nitaipata kwenye forex, nikadeposit 20$ ndani ya week moja nina 572$ nikatoa 500 nikamtumia dogo 700k,
FOREX SIACHI,
forex, indices nilifanya demo haikunivutia, nikiwa na 20$ nafungua trades tano za 0.02 lot, i never hold trades, natrade m30 tf20$ to 500$ ndani ya wiki?
Hiyo ni forex ama synthetic indices?
Wenzeko ndoto za kuja mjini huisha wakiwa poini na wakija mjini huwapi habari za mafanikio ya haraka, ila wewe inaonekana ulikuja mjini bila kujua mjini kuna niniNilikuwa nimechoka na maisha ya kufanya kazi saa nane kwa siku katika ofisi flani hivi pale Posta jijini Dar es Salaam. Ndoto yangu ilikuwa kubwa zaidi kuliko kiti changu cha ofisini na mshahara wangu wa kila mwezi. Nilikuwa na hamu kubwa ya kujaribu kitu kipya, kitu ambacho kingenipa uhuru wa kifedha na fursa za kutimiza ndoto zangu.
Nilitambua kwamba kwenye ulimwengu huu wa kisasa, forex ilikuwa njia inayopendelewa zaidi ya kuwekeza na kupata faida kubwa. Nilivutiwa na hadithi za watu waliojikomboa kutoka kwenye mikono ya ajira na kuwa mabosi wa maisha yao wenyewe kupitia biashara ya forex. Hivyo basi, niliamua kuwa mmoja wao.
Nilipofikiria juu ya kuacha kazi yangu na kujitosa kwenye ulimwengu wa forex, moyo wangu ulijaa msisimko na wasiwasi. Nilisoma vitabu vingi na kujiandaa kwa miezi kadhaa kabla ya kufanya uamuzi wa mwisho. Nikaamua kuwa huu ndio wakati wangu wa kujaribu kitu kipya, wa kujiletea mabadiliko kwenye maisha yangu.
Kuacha kazi haikuwa uamuzi rahisi, lakini nilihisi kwamba huu ndio wakati sahihi wa kujitolea kwenye safari ya forex. Nilijiandaa kihisia na kifedha, nikiwa na matumaini kwamba ningeweza kugeuza ndoto zangu kuwa ukweli. Niliamua kufungua akaunti yangu ya forex na kutumia akiba yangu kama mtaji wa kuanzia. Safari yangu ya kuelekea uhuru wa kifedha ilikuwa imeanza.
Husikose sehemu inayofuata...
Pair gani mkuu?forex, indices nilifanya demo haikunivutia, nikiwa na 20$ nafungua trades tano za 0.02 lot, i never hold trades, natrade m30 tf
huwa natrade pair 2 tu, eurusd na usdjpy basi.Pair gani mkuu?
wanaopata faida ni HEDGE FUNDS ama mabenki na sio mtu mwenye mt4Hivi kuna mtu anaweza kufanya biashara ya hasara kwa miaka mitano? Acha uongo kuna watu wanapata faida kwenye forex, na kuna wanaopata hssara vile vile
sasa upunguze mdomo naposema hakuna anaepata faidaIsubiri hapo hapo
Mi naongelea mt4. kwa iyo mkuu inamaanisha wote wanaotrade oonline kila siku wanapata hasara. yaani account zao wote wenye mt4 zinasoma loss loss loss loss loss mpaka mwisho, ?wanaopata faida ni HEDGE FUNDS ama mabenki na sio mtu mwenye mt4
nami ndo namshangaa apo tu ,saw loss zipo ila tunazimanage mwisho wa siku tunamaliza na faida au loss kidogoMi naongelea mt4. kwa iyo mkuu inamaanisha wote wanaotrade oonline kila siku wanapata hasara. yaani account zao wote wenye mt4 zinasoma loss loss loss loss loss mpaka mwisho, ?
Mi naongelea mt4. kwa iyo mkuu inamaanisha wote wanaotrade oonline kila siku wanapata hasara. yaani account zao wote wenye mt4 zinasoma loss loss loss loss loss mpaka mwisho, ?
its impossible, YOU CANT TIME THE MARKETN
nami ndo namshangaa apo tu ,saw loss zipo ila tunazimanage mwisho wa siku tunamaliza na faida au loss kidogo
the big reason nlikwambia weka trade history yako ya mwezi uliopita, ni inaonyesha overall ulichofanya kwa mwezi uliopita both profit and lossN
nami ndo namshangaa apo tu ,saw loss zipo ila tunazimanage mwisho wa siku tunamaliza na faida au loss kidogo
Ukitaka kugombana na mentor mwambie aweke trade history yake🤣🤣🤣😆the big reason nlikwambia weka trade history yako ya mwezi uliopita, ni inaonyesha overall ulichofanya kwa mwezi uliopita both profit and loss
the big reason nlikwambia weka trade history yako ya mwezi uliopita, ni inaonyesha overall ulichofanya kwa mwezi uliopita both profit and loss
the big reason nlikwambia weka trade history yako ya mwezi uliopita, ni inaonyesha overall ulichofanya kwa mwezi uliopita both profit and loss