Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

N

nami ndo namshangaa apo tu ,saw loss zipo ila tunazimanage mwisho wa siku tunamaliza na faida au loss kidogo
nadhan amna haja ya kuongea sana mt4 apo kuna sehem ya trade history weka tu ya mwezi uliopita wala hatutaki miezi ingine. nataka iwe fundisho kwa wote wanaokuchukulia serious
 
Kinachokuponza ni over risk na greedy
 
Ukiacha ukolo mkuu unakuaga na Akili fresh 😀😀
 
Mkuu ,una kitu ,utafika mbali ,komaa
 
Nimekuwekea kbisaa verified trading history, mt4 naweza weka hata cent acc usikariri mt4 trader makini mwombe verified history from Myfxbook maana hata investor hawana time na mt4 wataingia myfxbook wakiona inapendeza unapewa fund
mzee, i amnt out of my mind kukwambia ivo
 
Oyaa, una vitabu au notes zake uzitupie humu ?
 
poor you
 
Nimekuwekea kbisaa verified trading history, mt4 naweza weka hata cent acc usikariri mt4 trader makini mwombe verified history from Myfxbook maana hata investor hawana time na mt4 wataingia myfxbook wakiona inapendeza unapewa fund
just do as i say nna maaana yangu kubwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…