Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Kuwa mdau wa forex na kukuomba 5000 tsh kuna uhusiano gani?....huenda alitaka nauli tu maana alisahau kubeba wallet.
 
Jinsi ulivyoenda na huyo mwamba bampa to bampa, naamini maneno yako, forex now imekua ya kibabe sana, mentor ni wengi na wanapiga pesa kwa kufundisha na sio wao kutrade, hapa kama un akili lazima ujue kudownload hela ni kazi kuliko kutafuta mtaani.

hahaha usipate shida wewe mwambie tu akupe trade history akiweza basi huyo anajua anachofanya other wise hio trade history itafichwa kama bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…