Unatumia strategy ipi?Synthetic hazitaki uboya, ukizingua unapigwa kama ngoma sema cha ajabu mimi ndio nazielewa kinyama yani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia strategy ipi?Synthetic hazitaki uboya, ukizingua unapigwa kama ngoma sema cha ajabu mimi ndio nazielewa kinyama yani.
Kuwa mdau wa forex na kukuomba 5000 tsh kuna uhusiano gani?....huenda alitaka nauli tu maana alisahau kubeba wallet.hii forex imefilisi watu kadhaa wa karibu ninaowajua
kuna rafiki yangu, hatuna mazoea kivile, ni civil engineer, aliniomba sh. 5000
aisee, nilistuka, nikamwambia unamaanisha sh. 500k
akasema hapana , ni sh. 5k bro
baadaye nikapata info kwamba alikua mdau wa forex
yaani asiwe na sh. 5000 Tigo Pesa, MPesa na asahau kubeba wallet piahuenda alitaka nauli tu maana alisahau kubeba wallet
Sythetics zile. bana chaguwa nzuri kuna zile zinazolipuka za kiboya sana ila zile nyingine zikitoa confirm huwa zinamwaga pesa hazina trap ya ovyo ovyo less manipulationhivi synthetics ni nini? ni tofauti na indices.?
Jooh siwezi kuutosheleza ujinga wako trading history ata ya miaka 6 nakupa maana sijaanza jana wala juzi, we endelea na ujinga wako kwamba Trading ni upuuzi
Jinsi ulivyoenda na huyo mwamba bampa to bampa, naamini maneno yako, forex now imekua ya kibabe sana, mentor ni wengi na wanapiga pesa kwa kufundisha na sio wao kutrade, hapa kama un akili lazima ujue kudownload hela ni kazi kuliko kutafuta mtaani.
Kwa mie naweza weka trade history kama ni kwa kuamua mwenyewe, kushurutishwa ni sehemu ya kuonyesheana ka dharau flani
Nimeona nikuwekee ya miezi mitatu tena kishingo upande maana we ni mjinga kupitiliza , mtu asiekuw profitable ni kwa sababu zake binafsiView attachment 2790822
Nimemwekea naona kapiga kimya hakuna anachokijuwa zaid ya kubisha kulingana na ujinga wake
Washenzi wakifeli wanahis kila raia wanaendana ki akili
wanazi trade kwenye platform gani?Sy
Sythetics zile. bana chaguwa nzuri kuna zile zinazolipuka za kiboya sana ila zile nyingine zikitoa confirm huwa zinamwaga pesa hazina trap ya ovyo ovyo less manipulation
Scalping, mi kusubiria hela siku nzima siweziUnatumia strategy ipi?
Mjomba umetaka trading history nimekupa unataka na details khaa endelea kubisha ila broker namtumia ni Deriv email siwezi weka hapa ata kw dawa labda kama unaweza tumia izo Cr numbers then you gousijali mm ntakuwekea trading history yako! nipe tu email yako na broker unaetumia
Unatrade XAUUSD kwa strategy ipi? BTMM ama ICT ama patterns?Siwezi provide email ukitaka acc number nakupa jina la broker deriv ila tufanye umeshinda unaubishi wa ajabu mwisho useme nikupe ela ili uamini kama ni za kweli am log out@stakehigh
piga screenshot ya muda huu tupe na saa kabisa🤗🤗Nimeona nikuwekee ya miezi mitatu tena kishingo upande maana we ni mjinga kupitiliza , mtu asiekuw profitable ni kwa sababu zake binafsiView attachment 2790822
Situmii Ict wala Smc my own strategy ambayo ina consist candlesticks Patten +high season +50pips sclaping ktk kila wave ninayozamaUnatrade XAUUSD kwa strategy ipi? BTMM ama ICT ama patterns?
Anhaa, what's high season bro? So unalook for reversal candlesticks?Situmii Ict wala Smc my own strategy ambayo ina consist candlesticks Patten +high season +50pips sclaping ktk kila wave ninayozama
Swali langu trading ni real au sio real?piga screenshot ya muda huu tupe na saa kabisa🤗🤗
Siwazi kuwa ni imposible hapana sabab ni details unazocrop kuna kitu