Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Jiunge na wewe upigwe na kitu chenye ncha kali uje kutoa ushuhuda hapa.
1697092748109.png

Kitambo sana, nimejiunga.

Na hiki ni kichapo cha leo!
 
Juzi Mimi na rafiki yangu tumeweka $10
Jana asubuhi ikawa $20.50
Nikamwambia withdraw hiyo $10 kwanza tuile Mambo yasiwe mengi
Uamuzi mzuri, kuna jamaa alipigwa 40m ndani ya siku chache tu.
Kuna dada mmoja alilipia training nikamwambia achana na hiyo kitu hakusikia, akaweka mshahara wa miezi 4 ukafyekelewa mbali, siku hizi simsikii akiiongelea forex, ameshajifunza.
 
Back
Top Bottom