Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Broker pekee ambaye kwa Sasa unaweza kutrade na kutoa pesa zako kupitia M-PESA ni Deriv tu , wanamazingira mazuri Sana ya kukuwezesha kudeposit na kuwithdraw kwa M-PESA kuliko broker yoyote .

Kingine pia hauhitaj Hadi uverify account yako , ukishaweka Jina Lako Email na namba ya Simu unaanza kutrade Kama kawaida, Kama unahangaika kupata link nimekuwekea hapa chini
 
Ni wapumbavu tu wanaweza kuvutwa kwenye upuuzi wa Forex wakiamini kuna utajiri. Mtu anakwambia Forex ina utajiri mkubwa sana halafu hapo hapo anatoa mafunzo kwa kuchaji vijipesa. Huo muda wa kufundisha watu kwanini asiuwekeze kwenye kutrade yeye mwenyewe awe Bilionea?

Ila wapumbavu hawaishi duniani na wataendelea kugeuzwa fursa ndio maana manabii, wazee wa network marketing na waganga wa kienyeji wanaendelea kupiga pesa.
 
Wengine wanatrade kupitia simu.
 
hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…