Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Juzi Mimi na rafiki yangu tumeweka $10
Jana asubuhi ikawa $20.50
Nikamwambia withdraw hiyo $10 kwanza tuile Mambo yasiwe mengi
Uamuzi mzuri, kuna jamaa alipigwa 40m ndani ya siku chache tu.
Kuna dada mmoja alilipia training nikamwambia achana na hiyo kitu hakusikia, akaweka mshahara wa miezi 4 ukafyekelewa mbali, siku hizi simsikii akiiongelea forex, ameshajifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…