Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

We jamaa, Darasani ulikuwa uko vizuri kwenye mahesabu. Shukrani nimekupata japo
Yeah but not too late once a trader always a trader, vijana wenzako wapo wanatengeneza mshahara wako w mwezi kwa siku mshahara wako wa mwaka kw wiki😂😂🙂 pensheni yako kwa miezi miwili
Pambania ndoto yako ktk trading unaweza poteza kila kitu ila ukaja rudisha vyote ndani ya mwezi

Tafuta elimu sahihi, njia uliotumia ya self learning ni ndefu na inaitaji moyo sana ila ukitoboa unetoboa unakuwa umepiga miaka si chini ya 3 down
 
Financial markets sio suala la bahati, ni suala la kwamba, je unajua market drivers? Je unajua impacts za world events na geopolitical agendas?

Mfano Vita tu ya Hamas-Israel, imepunguza demand ya dollar na kuleta afueni kwa sarafu zingine na physical gold.

Forex sio kuchora chora madude, michoro yako haimove soko.
Mkuu co poA watu wamechok , walio sell gold ijumaa kuamkia jumatatu mzgo ulipaa ukaach fvg stoploss ukaw mtaji
 
Pole sana , ipo hivi huwezi acha kazi kabla hujapata pa kusimama mzee, ulitakiwa uwe profitable kwanza kuna process za kuacha kazi ili uwe full time trader sio kukurupuka,
Kwanza uwe na withdrawal ya mshahara wako wa mwezi kila wiki kwa miezi mitatu
Uwe consistency profitable with strong edge in the market

Yani kazi inajireplace automatic, mfano unalipwa 200€ kwa mwezi nawee una weza make 200€ consistency weekly balance bank io ya kutosha na Mt4 pia, calculate total 5y salary make it in trading keep in the bank acc then quit
We jamaa, Darasani ulikuwa uko vizuri kwenye mahesabu. Shukrani nimekupata japo too late
Mkuu co poA watu wamechok , walio sell gold ijumaa kuamkia jumatatu mzgo ulipaa ukaach fvg stoploss ukaw mtaji
Poleni, shukuru hiyo SL maana account ingeenda
 
We jamaa, Darasani ulikuwa uko vizuri kwenye mahesabu. Shukrani nimekupata japo too late

Poleni, shukuru hiyo SL maana account ingeenda
Mkuu SL irukwa mkuu
Fvg ilikuw kubwa iliach 1832+ had 1842 ndio kdogo price ikatembea

Jamaa zangu wote SL ZAO NA ZANGU ZILUKWA NATAK KUINGIA HUKO.MDODOGO HII GAME SI YA KITOTO
 
Mkuu co poA watu wamechok , walio sell gold ijumaa kuamkia jumatatu mzgo ulipaa ukaach fvg stoploss ukaw mtaji
Poleni, Gold ni safe-haven wakati wa vita , so ilibidi ipande tu pale.

Alafu taifa la Israel waliuza $+ millions walizokuwa nazo Ili waipe sarafu yao shekeli nguvu baada ya Hamas kukichafua. Hamas ndo waliharibu kila kitu.

Ila jana data za mfumuko wa bei Marekani zilileta ahueni kidogo kwa dollar although sijui kama ni long live or short lived.

Kiufupi Markets zina uncertainties, kwa kuwa inatawaliwa na supply and demand , so risk management ndo strategy bora sana, you won't win every game, you minimize losses.
 
View attachment 2779944hapa unasemaje. Akaunti imetoka dola 1000 mpaka $13000+ .

Yaani huwa nafurahi ama naenjoi watu wanavyoiongelea trading nazidi kusoma akili za binadamu pindi zinaposhindwa kitu Basi zitatafuta kila Aina ya sababu.

Sikieni trading unawaza kinyume na tunavyowaza,tulivyolelewa,kufundishwa shuleni kwenye nyumba za ibada na jamii na hata nyumbani.yaani inaenda kinyume na ubinadamu wetu na ndio Mana watu wanadondokea pua.. hii sio kuwa Ni afrika tu hata ulaya wanapoteza ama kuliwa hela. Kuna mchina mmoja hapa akaniambia ana miaka minne haiichungulii Mana alipoteza $60k so anaichana nayo,Kuna dogo mmoja alipoteza dola laki Saba ulaya huko akajiua.
Hii kitu Ni ya Moto ama Ni Vita so usiisngie unadhani Ni game ya kitoto ama kisichana kila mtu anaweza akaicheza.yaani kufundisha Ni rahisi mno kuliko ku participate.
Hii dude sio lelemaa haina tofauti na Vita ama kupigana ngumi unadhani Ni wangapi Sasa watajaribuView attachment 2779944
Demo
 
Hiyo ni demo acc
 
Under no circumstances I will stand against forex, Forex is real but not easy at all. Forex is very difficult to the maximum. The game of money and emotions, In forex, the smart you get the more you play good.....ukichukulia rahisi utakuja tu kutoa simulizi za kuiponda
 
Ndo maana zinatafuta matrader ambao wanaweza kutimiza kutopata loss zaidi ya 45 percent ya portfolio zao. Investment firms hazipati hasara maana investment zao wanazikatia bima. Ila the more they win the better the reputation they gain. Forex is full of uncertainty and not understandable. And in order to succeed in business you need to understand what you are doing with your money. Hawa watu wanaotudanganya ni kwa sababu tunawekeza kwenye biashara ambayo haieleweki. Kama hauwezi kumuelezea mtoto wa miaka mitano biashara unavyotaka kuwekeza. Usiwekeze we hela yako bora ununue shamba ukipata idea nzuri ya biashara unachukua mkopo bank. Forex ilitajirisha watu miaka huo ya 80 na 70 ambapo trading ilikuwa inafanywa kwa simu. Na watu walikuwa na inside information. Now days ni chaka la kupiga hela kwa wachache.
Inaamana kwamba still watu hawmke money au
 
Back
Top Bottom