- Thread starter
- #241
Sawa, Kichwa cha habari kilikosewa kidogo, so Kupata mwendelezo, sasa Uzi wangu umepelekwa huku. Usiombe kuacha kazi, kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijiTaboraHUSIKOSE KUPOST
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, Kichwa cha habari kilikosewa kidogo, so Kupata mwendelezo, sasa Uzi wangu umepelekwa huku. Usiombe kuacha kazi, kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijiTaboraHUSIKOSE KUPOST
Yeah but not too late once a trader always a trader, vijana wenzako wapo wanatengeneza mshahara wako w mwezi kwa siku mshahara wako wa mwaka kw wiki😂😂🙂 pensheni yako kwa miezi miwiliWe jamaa, Darasani ulikuwa uko vizuri kwenye mahesabu. Shukrani nimekupata japo
Mkuu co poA watu wamechok , walio sell gold ijumaa kuamkia jumatatu mzgo ulipaa ukaach fvg stoploss ukaw mtajiFinancial markets sio suala la bahati, ni suala la kwamba, je unajua market drivers? Je unajua impacts za world events na geopolitical agendas?
Mfano Vita tu ya Hamas-Israel, imepunguza demand ya dollar na kuleta afueni kwa sarafu zingine na physical gold.
Forex sio kuchora chora madude, michoro yako haimove soko.
We jamaa, Darasani ulikuwa uko vizuri kwenye mahesabu. Shukrani nimekupata japo too latePole sana , ipo hivi huwezi acha kazi kabla hujapata pa kusimama mzee, ulitakiwa uwe profitable kwanza kuna process za kuacha kazi ili uwe full time trader sio kukurupuka,
Kwanza uwe na withdrawal ya mshahara wako wa mwezi kila wiki kwa miezi mitatu
Uwe consistency profitable with strong edge in the market
Yani kazi inajireplace automatic, mfano unalipwa 200€ kwa mwezi nawee una weza make 200€ consistency weekly balance bank io ya kutosha na Mt4 pia, calculate total 5y salary make it in trading keep in the bank acc then quit
Poleni, shukuru hiyo SL maana account ingeendaMkuu co poA watu wamechok , walio sell gold ijumaa kuamkia jumatatu mzgo ulipaa ukaach fvg stoploss ukaw mtaji
Mkuu SL irukwa mkuuWe jamaa, Darasani ulikuwa uko vizuri kwenye mahesabu. Shukrani nimekupata japo too late
Poleni, shukuru hiyo SL maana account ingeenda
Noma sana.Mkuu SL irukwa mkuu
Fvg ilikuw kubwa iliach 1832+ had 1842 ndio kdogo price ikatembea
Jamaa zangu wote SL ZAO NA ZANGU ZILUKWA NATAK KUINGIA HUKO.MDODOGO HII GAME SI YA KITOTO
Yaani acha kabisaaPole sana, wengi waliambulia kupata bidhaa tu
Kama kuna mwelekeo vizuri. Ila Kama mpaka huko umepigwa za kichwa. Sasa hakuna kwa kukimbilia.Hata Mimi niliacha kazi kwaajili ya BOLT 🤣🤣🤣🤣
Poleni, Gold ni safe-haven wakati wa vita , so ilibidi ipande tu pale.Mkuu co poA watu wamechok , walio sell gold ijumaa kuamkia jumatatu mzgo ulipaa ukaach fvg stoploss ukaw mtaji
DemoView attachment 2779944hapa unasemaje. Akaunti imetoka dola 1000 mpaka $13000+ .
Yaani huwa nafurahi ama naenjoi watu wanavyoiongelea trading nazidi kusoma akili za binadamu pindi zinaposhindwa kitu Basi zitatafuta kila Aina ya sababu.
Sikieni trading unawaza kinyume na tunavyowaza,tulivyolelewa,kufundishwa shuleni kwenye nyumba za ibada na jamii na hata nyumbani.yaani inaenda kinyume na ubinadamu wetu na ndio Mana watu wanadondokea pua.. hii sio kuwa Ni afrika tu hata ulaya wanapoteza ama kuliwa hela. Kuna mchina mmoja hapa akaniambia ana miaka minne haiichungulii Mana alipoteza $60k so anaichana nayo,Kuna dogo mmoja alipoteza dola laki Saba ulaya huko akajiua.
Hii kitu Ni ya Moto ama Ni Vita so usiisngie unadhani Ni game ya kitoto ama kisichana kila mtu anaweza akaicheza.yaani kufundisha Ni rahisi mno kuliko ku participate.
Hii dude sio lelemaa haina tofauti na Vita ama kupigana ngumi unadhani Ni wangapi Sasa watajaribuView attachment 2779944
Hiyo ni demo accView attachment 2779944hapa unasemaje. Akaunti imetoka dola 1000 mpaka $13000+ .
Yaani huwa nafurahi ama naenjoi watu wanavyoiongelea trading nazidi kusoma akili za binadamu pindi zinaposhindwa kitu Basi zitatafuta kila Aina ya sababu.
Sikieni trading unawaza kinyume na tunavyowaza,tulivyolelewa,kufundishwa shuleni kwenye nyumba za ibada na jamii na hata nyumbani.yaani inaenda kinyume na ubinadamu wetu na ndio Mana watu wanadondokea pua.. hii sio kuwa Ni afrika tu hata ulaya wanapoteza ama kuliwa hela. Kuna mchina mmoja hapa akaniambia ana miaka minne haiichungulii Mana alipoteza $60k so anaichana nayo,Kuna dogo mmoja alipoteza dola laki Saba ulaya huko akajiua.
Hii kitu Ni ya Moto ama Ni Vita so usiisngie unadhani Ni game ya kitoto ama kisichana kila mtu anaweza akaicheza.yaani kufundisha Ni rahisi mno kuliko ku participate.
Hii dude sio lelemaa haina tofauti na Vita ama kupigana ngumi unadhani Ni wangapi Sasa watajaribuView attachment 2779944
Ndiyo si unajua Ponzi/Pyramid scheme zilivyo?Kwani goodmorning Kuna pesa ya chap chap?
Hii ni mbuzi inayolishwa majani ikidhani inafugwa kumbe inanenepeshwa ili ikichinjwa iwe na unono! Na wewe tutatakufanya mjaladala muda si mrefu!Bufa kama una hela invest hapo nikakutaftie kiwanja chap kule tour drive kwenye balozi. Forex ni genuine, ongea na watu vizur
Inaamana kwamba still watu hawmke money auNdo maana zinatafuta matrader ambao wanaweza kutimiza kutopata loss zaidi ya 45 percent ya portfolio zao. Investment firms hazipati hasara maana investment zao wanazikatia bima. Ila the more they win the better the reputation they gain. Forex is full of uncertainty and not understandable. And in order to succeed in business you need to understand what you are doing with your money. Hawa watu wanaotudanganya ni kwa sababu tunawekeza kwenye biashara ambayo haieleweki. Kama hauwezi kumuelezea mtoto wa miaka mitano biashara unavyotaka kuwekeza. Usiwekeze we hela yako bora ununue shamba ukipata idea nzuri ya biashara unachukua mkopo bank. Forex ilitajirisha watu miaka huo ya 80 na 70 ambapo trading ilikuwa inafanywa kwa simu. Na watu walikuwa na inside information. Now days ni chaka la kupiga hela kwa wachache.
Mkuu co poA watu wamechok , walio sell gold ijumaa kuamkia jumatatu mzgo ulipaa ukaach fvg stoploss ukaw mtaji
Hahahaha kweli Raha ya goodmorning uingie mwanzo mwanzoNdiyo si unajua Ponzi/Pyramid scheme zilivyo?