Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Youtube aagalia tu ila ile ni profession kama professiona nyingine huwezi kufanya upasuaji kwa kutizma youtube tu

let me break it down for you:
1) there is nothing like online forex, if you thought mt4 ni forex pole mlipigwa: what your doing is only betting on a broker and not trading because there is nothing like a global forex market

1697346734187.png

1697346767705.png

2) There is no one who makes a living from mt4 betting, and it will never happen! the only people who make a living are those who sell courses or a firm called HEDGE FUND

3) Forex is only traded in physcical cash, apart from hedge funds and every other institution trades forex but NOT to make money

4) as of 2023 only 0.5% of global traders can turn a profit annually

5) adding up this will help you

View: https://www.youtube.com/watch?v=w6JXZ3GzSCQ&t=337s&pp=ygUUYmJjIHRoZSBiaWdnZXN0IHNjYW0%3D
 
Nilipochukua simu yangu na kufungua programu yangu ya MT5, niliona chati zinazozidi kupanda kwa rangi ya bluu, na hiyo ndiyo ilikuwa ishara ya kwamba biashara yangu ilikuwa ikipata faida kubwa.

Wakati huo, hisia za furaha na kuchanganyikiwa zilipigana ndani yangu. Furaha ya ghafla ya kugundua kwamba nilikuwa nimepata faida kubwa ilinifurahisha. Nilifurahi sana kiasi kwamba nilihisi kama ninapaa angani. Hii ilikuwa ni matokeo ya kazi nyepesi ya kubonyez kutufe cha Buy XAUUSD na kujikuta nimesahau, ila faida hiyo ilionekana kama zawadi ya ghafla kutoka kwenye soko la forex.

Hata hivyo, kwa upande mwingine, kuchanganyikiwa na wasiwasi vilianza kuniingia. Nilikuwa na hamu ya kufunga trade na kuchukua faida yangu haraka iwezekanavyo kabla ya soko kubadilika mwelekeo. Hali hii ilinifanya kuhisi kama ninacheza na nyakati.

Kwa sekunde zilizosalia, nilifanya uamuzi. Nilichukua hatua na kufunga biashara yangu. Niliona jumla ya faida iliyokuwa imeandikwa kwenye simi yangu ilikuwa 40k tena kwa mtaji mdogo tu nilioweka na kwa muda mfupi, na hilo ndilo lililozidi kuleta furaha yangu. Lakini kwa moyo ulivyokuwa unapiga kwa kasi Hivyo, nilivuta pumzi ya kuridhika na kuchukua muda wa kuadhimisha mafanikio yangu.

Baada ya kufurahia mafanikio yangu ya ghafla kwenye soko la forex, nilijikuta nikiwa na hisia za kujiamini na uhuru. Nilipofunga faida yangu, wazo lililonijia kichwani ni kula bata, nilienda kuonana na yule bidada pale chuo cha wasibu kisha nikamchukua, sikumwambia chochote kuhusu trade ila kupitia furaha yangu na tabasamu usoni alijua.
Mimi ni mgeni kidogo jiji la Arusha yeye akawa ananipa location, hapa Club D, kule Triple A, kipindi hicho kokoriko pale Arusha ilikuwa inavuma hatari, tulimaliziaa hapo.

Kiukweli Mimi na bata ni kama kachumbari na pilipili! Inavyounda msisimko wa kipekee na uchangamfu usio na kifani.

Kwahiyo Sikuishia hapo hela iliyokuwepo kwenye account ni nyingi sana, kiasi nilichanganyikiwa, niliamua kujipa raha na kufurahia matunda ya kazi yangu. Rasmi Niliamua kuanza safari ya kuvuna raha na starehe kutoka Arusha, jiji la utalii lenye mandhari ya kuvutia, hadi jiji la Dar es Salaam, moyo wa biashara na burudani nchini Tanzania.

Kwa Arusha, nilijipatia fursa ya kufurahia hewa safi ya milima ya Kilimanjaro, pia nilienda kuona mandhari ya ajabu ya mbuga za wanyama za Serengeti. Nilitembelea vivutio vya utamaduni na historia ya eneo hilo, nikijifunza mengi kuhusu utajiri wa utamaduni wetu wa Tanzania. Pia, nilijipa raha kwa kula chakula cha asili cha kimasai roshoroo na kushiriki katika tamasha za kitamaduni pale Masai camp Arusha.

( nilibadilisha apartment na kuhamia Ngurudoto, hii wengi mnaijua, na gharama zake)

Siku chache nikageuza Jijini Dar Es Salaam, Nikiwa bado na hisia za kufurahia mafanikio yangu, niliendelea na safari yangu ya kura raha jiji la Dar es Salaam. Jiji hili lenye shughuli nyingi lilikuwa ni mahali pazuri pa kufurahia starehe za kisasa na maisha ya jiji. Nilipata fursa ya kufurahia vyakula bora katika migahawa mashuhuri kama samakisamaki, kushiriki katika burudani za muziki wa live, Mlimani City ndo ilikuwa kijiwe changu cha kunywa kahawa, na mda ya jionijioni kujifurahisha na marafiki katika vilabu vya usiku(Hapa mpaka nikapewa jina la "Buda wa Raha."), jinsi nilivyokuwa naleta furaha kwa watu wanaonizunguka, hapa najua namanisha nini.

Nilifanya ziara za kuvutia katika maeneo maarufu ya jiji kama vile Coco Beach, Mikocheni, na Masaki. Nilijaribu mambo mapya kama vile kusafiri kwa boti hadi visiwa vya Zanzibar na kufurahia jua la bahari la Tanzania. Kwa kifupi, nilijinyakulia kila fursa ya kufurahia maisha, kutoa shukrani kwa mafanikio yangu ya ghafla kwenye biashara ya forex.

Safari hii ya starehe ilikuwa ni zawadi ya kujitolea kwa bidii yangu na jitihada zangu katika biashara ya forex. Nilijifunza kufurahia matunda ya kuacha kazi ngumu na kujiunga na forex, mafanikio hayo yalikuwa kama njia ya kujipa motisha na kuendelea kufanikiwa katika safari yangu ya kifedha. Kila kicheko na furaha nilichopata kilikuwa kama ishara ya kwamba safari yangu ya forex inasonga vizuri.

Yote haya yalikuwa ni sehemu ya safari yangu, na hii ilikuwa tu hatua moja kuelekea kwenye ndoto zangu za mafanikio katika ulimwengu wa forex.

( kweli palipo na mafanikio Makubwa uondoa wasiwasi kabisa, na ukikaa vibaya unajisahau na kuanguka anguko kuu)

(Sehemu inayofuata itaendelea...)View attachment 2780791
Hii episode umepuyanga sana yani umeandika vitu ambavyo vinaifanya story yako isiwe na msisimko jifunze kutia chumvi kwenye vitu vyenye interest sio kupuyanga hvyo
 
let me break it down for you:
1) there is nothing like online forex, if you thought mt4 ni forex pole mlipigwa: what your doing is only betting on a broker and not trading because there is nothing like a global forex market

View attachment 2782499

View attachment 2782500

2) There is no one who makes a living from mt4 betting, and it will never happen! the only people who make a living are those who sell courses or a firm called HEDGE FUND

3) Forex is only traded in physcical cash, apart from hedge funds and every other institution trades forex but NOT to make money

4) as of 2023 only 0.5% of global traders can turn a profit annually

5) adding up this will help you

View: https://www.youtube.com/watch?v=w6JXZ3GzSneither%20uCQ&t=337s&pp=ygUUYmJjIHRoZSBiaWdnZXN0IHNjYW0%3D

Haki ya nani yani unaniletea andiko la mambumbu kama weewe astaghafirulah, mtu kama hujui kutrde hujui tu fullstop labda unambie zile synthetic index ndo kidogo iyo article inaweza ingia, foreign trade exchange either unaifanya physical or online lazima ujue mwelekeo wa sarafu

Ujue interest rate ikiongezwa au kupunguzwa kinatokea nini ujue supply and demand eti watu hawapati ela serious watu wanapata na wanapoteza vile vile
 
just be sure you are all scammed
 
Scammed how awe broker ndo anatengeneza soko lake mbona mt4 move ni moja goal is to make money mazee na ndo maana hata elimu unazozikuta nyingi so sahihi

You can never make money off mt4 and if your thinking unaweza kutengeneza maisha kwa mt4 ushauri wa kukuokoa kafanya tu kazi zingine ambazo kwa huo mda utakua umepoteza hutajutia

= Ukitaka kuelewa sawa usipotaka well and good, ila data zote zko wazi hakuna mtu mwenye mt4 anaweza kutengeneza pesa ya kuendesha maisha! the choice will remain to you
 
Full of dump i never argue with you amin unacho amini. Katafute waliofanikiwa ujifunze kutoka kwao tukutane ktk matumizi.
 
Full of dump i never argue with you amin unacho amini. Katafute waliofanikiwa ujifunze kutoka kwao tukutane ktk matumizi.

hii itakusaidia:
napenda watu wa forex mlivo wabishi kwa sababu akili zenu zko sawa: pole kwanza ulidanganywa unatrade forex, hakunaga online forex ulipigwa kamba! pia you dont trade because there is nothing your trading kwenye mt4 just a number of betting people thats it
1697514498870.png

1697514593560.png

sasa endelea kukaza fuvu
 
sio 10% ni 1%, View attachment 2784141

na hao 1% sio watu wa mt4 ni HEDGE FUND MANAGERS! kwenye mt4 hakuna anaetengeneza pesa na haitakaa itokee, nkimaanisha kwamba your net balance must always be 0
Mi ndo nakushangaa apo tu mt4 kwamba huwezi make money kivipi kwmba ata ukimake zinatolewa au kamahujui hujui tu mzee forex si matro useme kila mtu anayo
 
Attachments

  • Screenshot_20231017-185220.jpg
    Screenshot_20231017-185220.jpg
    80.5 KB · Views: 14
Back
Top Bottom