Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
- Thread starter
-
- #61
Hatujitapi mkuu ila haw jamAa unaongea nao leo kwamba mshahara ukiingia ntamaliza deni muda si mrefu wanapiga tenaKumkopesha M Bongo jiandae kwa purukushani.
Wale wa Korosho wameambiwa wapewe pesa wasikatwe madeni, sipati picha Mtu akishapokea pesa yake atakavyotoka nduki asilipe deni.
Mzee, cha muhimu ni makubaliano ya awali, kama hukubaliani nayo usikope.Hatujitapi mkuu ila haw jamAa unaongea nao leo kwamba mshahara ukiingia ntamaliza deni muda si mrefu wanapiga tena
Tutalipa ila si kwa usumbufu huu
Nimekoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi walinambia wameagiza difenda ije hadi nilipo nikamatwe ila nimesubiri zaid ya week 3 difenda sijaiona [emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki kukumbuka habari ya TalaHawa jamaa nimewavulia kofia wanadai hadi saa 8 usiku
Ulfanyaje hiyo hadi wakakusahauMi nilikaa na deni miezi sita..wakanipiga mkwara sana na kwamba hawatanikopesha tena...juzi nimejaribu nikapata mkopo mara mbili ya awali...sijui wamenisahau
Khaa hujalipa? Eti uko na amani lolTena usi ombe aku pigie yule mkurya wa kenya utapenda tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] any way walichoka adi leo nko na amani
Mkuu km mm!Kudai mtu hela halafu akawa anazingua huwa inaboa sana.
Binafsi sipendi kukopa ovyo ovyo, na nikikopa huwa narudisha mapema pindi nipatapo(sina historia ya kuzongwazongwa kwa kudaiwa deni)
wa Kenya ni watu waaminifu sana upande wa pesaHahahahaha...usiombe upigiwe na mkenya sasa woiii,.
Kweli mkuu na mimi nina deni hilo la Mr Jiwe pekee ambalo ninabanana nao taratibuMkuu km mm!
Kwanza nikidaiwa napoteza kabisa amani!
Deni pekee nlilonalo na niko na amani kulipa taratibu ni HESLB!
Kwa ambao hatujazoea! Kudaiwa ni mtihani sana!Kweli mkuu na mimi nina deni hilo la Mr Jiwe pekee ambalo ninabanana nao taratibu
Wakenya????!!!! Huwajui wewe! Hakuna watu wa hovyo kwenye deni kama wakenya! Mara nyingi nimejikuta nalazimika kuwanyan'ganya mali zao baada ya kushindwa kulipa madeni! Usijaribu kumkopesha Mkenya! Utajuta.wa Kenya ni watu waaminifu sana upande wa pesa
Hili la taasisi sio shida kama kudaiwa na mtu mmoja mmoja maana itafika kipindi anakukazia kweli kweli kukudai utatamani ujifiche kabisa.Kwa ambao hatujazoea! Kudaiwa ni mtihani sana!