Usiombe kukutana na Nsia Swai

Hakuvujisha yeye.Fundi walimpelekea laptop
Alivyoona badae akawabia wampe laki tatu asivujishe.wakagoma
 
Picha hizo ujue kuna mujamaa anapelekewa.
 
Wadada Wakina Swai wamejaaliwa maumbo,!!! Sura sio saaaaan
Hawa ni wachacharikaji kinouma. Yaani yupo kufanya lolote ili December asiende kudharauliwa.
Unacheza na manka kwanza Kama hauna elimu pesa ama biashara ama miradi ya maana humuoi mkuu.
Wapo wanaotoka Arusha kufuata mzigo dar. Akishafika dar kwanza anauza utamu akipata mtaji anaongezea anachukua mzigo wa maana ,fasta kwa Sai baba ama dar express kwa biashara zake Arusha.
Hao jamaa ni Wana akili ya kiutafutaji sijawahi ona ,Sasa wake afu staafu uone.
Sidhani Kama kwanza Kuna manka atakubali uishi na mtt wa ndugu sema wao kujazana kwako ni halal Ila wa kwako ni Haram shekhe
 
Huwa sina sana preference, isipokuwa navutiwa na tall girls 1.75m +

Honestly ni mrembo (umbo) 10/10, isipokuwa sura inamuangusha kiasi fulani 6/10
Jaman watu 8 kama nsia sio mzuri sura sjui wewe unataka wa aina ganiiiii kama sio malaikaaa
Uwiii ila na wewe ni ka HB ka maana japo sio mrefu kama unavyotaka wengine wawe warefu...
 
Nilikua form 5 enzi hizo simu nayotumia ni nokia 6030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…