Usiombe mwanaume uishiwe yaani full stress hapa nina mia tu wakat salary 1,800,000 per month

Usiombe mwanaume uishiwe yaani full stress hapa nina mia tu wakat salary 1,800,000 per month

Hujui zinapokwenda!! Hebu jitafakari sana na anza kuishi kwa bajeti.
 
Akiba haiozi.anza kuweka akiba hata laki 2 kwa mwezi kwenye hizo mili 1.8.
 
Ss nDio kusema unatafuta wa kukukopa ama?..Maana maongezi ya kiutu uzima especially mtu akiwa na shiDa huwa ni ya kuzungusha Sanaa
 
Kuwa na uhakika na mshahara ni mbaya sana unatumia unajua zitakuja lakini ungekua mfanya biashara ungekua muoga maana hujui kama kesho utauza au laa.
 
Tuma namba ya m-pesa nikutumie ya kula leo.
You are such a good person... Upo Bongo bahati mbaya mkuu... Mioyo kama hii wanayo binadamu wachache sana kwenye hili bara la giza. Mungu akubariki sana...

Karibu Nakopesha Kwa Riba Ya 10% kwa wiki
You are a loan shark! 😱😱😱

loan shark.jpg
 
We jamaa unakipato kidogo sana kwa mwezi! Upo dar au Sumbawanga? Kwa kipato hicho kama ni demu lazima uliwe kipara!
[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji54] [emoji54] jamani mnapobarikiwa msikufuru hivyo... pana watu mshahara huo wa 1.8 m ni ndoto kabisa kwao na wanaishi dar.... je hao wote ni makahaba?
 
Yaani hiyo tu unalalamika? Mi nina take home ya 2.8m nalipiwa nyumba na mafuta ya gari na airtime napewa ila bado naishiwa kabla mwez uishe. Mshahara huwa unamajini...mwakani naacha kazi nipo kwenye harakat za kujiajiri
 
Unadhan sisi tunajua unapozipeleka kama wewe hujui?? Na bado za mganga anaekuoshaga nyota hujampa chake
 
Yaani hiyo tu unalalamika? Mi nina take home ya 2.8m nalipiwa nyumba na mafuta ya gari na airtime napewa ila bado naishiwa kabla mwez uishe. Mshahara huwa unamajini...mwakani naacha kazi nipo kwenye harakat za kujiajiri
Abeeee, umesema/
 
[emoji54] [emoji54] [emoji54] [emoji54] 2.8m na mwezi hauishi... lini Mungu atanibariki nami kwa pesa hiyo?
 
Back
Top Bottom