Usiombe mwanaume uishiwe yaani full stress hapa nina mia tu wakat salary 1,800,000 per month

Usiombe mwanaume uishiwe yaani full stress hapa nina mia tu wakat salary 1,800,000 per month

Pole mkuu...mm nlikuwa na zaidi ya miaka 3 mishahara yangu haijawahi kukutana lkn nw nimejipanga nina miezi 6 mishahara inakutana,nimepunguza anasa kwa asilimia 80
 
Wowa mkuu. Ukipata mke mwema mwenye vision hiyo pesa kubwa mbona
 
Haya mkuu tumeshajua una mshahara wa 1.8ml, nyumba bado haijaisha, gari na pikipiki, kuna kingine.
Huyu jamaa yaelekea ni mtu wa majigambo sana... Jf sasa ni vurugu!
 
Waheshimiwa ieleweke ya kwamba boss mwanamke ni kitengo kingine ambapo mara baada ya kupandishwa cheo mm kumkuta huyo boss mwanamke ndio mkulu mpya kwenye hio kazi
 
Aisee huyu jamaa ni muelewa sana usidharau mtumie no yako atakutoa sisi wanaume hatuna noma


hahaha sio mimi ni jitu lenye miraba alikuja kujitangaza ana njaa nikampa pole,hakuna kitu kinachonishinda km kuomba
 
Back
Top Bottom