Usiombe mwanaume uishiwe yaani full stress hapa nina mia tu wakat salary 1,800,000 per month

Usiombe mwanaume uishiwe yaani full stress hapa nina mia tu wakat salary 1,800,000 per month

Yaani hiyo tu unalalamika? Mi nina take home ya 2.8m nalipiwa nyumba na mafuta ya gari na airtime napewa ila bado naishiwa kabla mwez uishe. Mshahara huwa unamajini...mwakani naacha kazi nipo kwenye harakat za kujiajiri
du kwa kwer huenda mshaara unadumaza akili kila la kher mkuu.
 
Juzi tu umeweka Uzi hapa ndio umepata kazi hiyo nyumba na gari umenunua lini?
 
umesema haujui zinapoenda..alaf unasema tena huna hamu na binti..inaonekana ukiwa na pesa kichwa chako cha chini ndicho huwa kina command maamuzi
wewe Mtui wewe jamani.

Nwe ke suko kabisaaa , chaaaaaa
 
Sijui pesa kuenda wapi,sina michepuko nina kagari na kapikipiki tu basi
Gunyumba hagujaisha kujenga
Je wewe ulishawahi kuishiwa kiasi cha kuona kizunguzungu halaf hata wa kumkopa kumkosa ?yaan hata hamu na bint yeyote sina mm pesa yaan pesa tu

#Ama kweli Pesa kwanza mengine mazuri huja
Hongera bhana,kumbe unapokea mshahara mkubwa namna hii?
 
Umezipeleka wp hizo pesa mbona mshahara Mkubwa huo
Kazipeleka wapi? Hilo swali atauliza asiye na mke, watoto na familia za ukweni au kwake tu...Hela ndogo sana hiyo kama kweli una majukumu ya shule watoto, kula familia, petroli, luku, mboga, mshahara hausigeli, kusaidia ndugu pande zote na mke akiwa na shida zake...
 
BORA WEWE MKUU UNA MSHAHARA WA 1.8M MI HAPA NKO KWA KIGOGO MMOJA NAFUNGA NA KUFUNGUA GETI NAINGIZA 90000 KWA MWEZI
AMA KWELI LIFE IS NOT FAIR
 
Punguza hiyo miraba mkuu, cheza na ile concept ya Opportunity cost kumbuka nguvu ya 1000 ya JK sio ya JPM.
 
ID yenyewe ya kipapaaa...haina shida mkuu komaa mwisho wa mwezi ni wiki ijayo utapewa zingine
 
Mkuu mbona umesema tena upo palace hotel arusha unatafuta nyama pori[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] .....
Kumbe umebakiwa na mia mzee [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna dada mmoja ni mhasibu wa kampuni flani analipwa 2Mil kwa mwezi ana nyumba kali na gari kali... Ngoja nitarudi
 
Ain't no party, like a rich nigga party
‘Cause a rich nigga party, don’t stop
 
Ningekuwa na mshahara kama wako stress zote nilizonazo zisingekuwepo.Matumizi yangu yasingezidi laki tano kwa mwezi tena hapo ningekuwa naishi maisha ya starehe sana.Kusaidia ndugu na jamaa haizuliki kwa mwezi ningetenga laki tatu tuu.Mafuta ya gari na pikipiki yangegharimu laki mbili.Ningehakikisha account yangu inabakiwa na laki nane kila mwezi.Lakini yote kwangu ni ndoto yote hayo.Kipato changu hakifikii hata robo ya hicho unachopata kwa mwezi.Nakushangaa unavyolia njaa sijui na sisi wa take home ya laki nne hadi saba tusemeje?Mungu akusaidie labda kuna tatizo sehemu haiwezekani tulie kilio kimoja na mimi nimebakiwa na sh. 550 na ndani kwangu hakuna chochote.
 
Mkuu mbona umesema tena upo palace hotel arusha unatafuta nyama pori[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] .....
Kumbe umebakiwa na mia mzee [emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi nilitaka nimuelekeze ila kwa hii thread nimeishiwa pozi mkuu, sasa sijui nyama pori angenunua kwa hela gani
 
Back
Top Bottom