du kwa kwer huenda mshaara unadumaza akili kila la kher mkuu.Yaani hiyo tu unalalamika? Mi nina take home ya 2.8m nalipiwa nyumba na mafuta ya gari na airtime napewa ila bado naishiwa kabla mwez uishe. Mshahara huwa unamajini...mwakani naacha kazi nipo kwenye harakat za kujiajiri
wewe Mtui wewe jamani.umesema haujui zinapoenda..alaf unasema tena huna hamu na binti..inaonekana ukiwa na pesa kichwa chako cha chini ndicho huwa kina command maamuzi
anajisifu hadi ID eeeh, eti jitu la miraba minne.Majisifu tu
Labda ni wezi..Kuna watu wanafanya kazi kk security wanalipwa Laki 3 na Nusu , wamejenga ,wana familia ,wanasomesha na hawana Mawazo ya kipuuzi
Hongera bhana,kumbe unapokea mshahara mkubwa namna hii?Sijui pesa kuenda wapi,sina michepuko nina kagari na kapikipiki tu basi
Gunyumba hagujaisha kujenga
Je wewe ulishawahi kuishiwa kiasi cha kuona kizunguzungu halaf hata wa kumkopa kumkosa ?yaan hata hamu na bint yeyote sina mm pesa yaan pesa tu
#Ama kweli Pesa kwanza mengine mazuri huja
Kazipeleka wapi? Hilo swali atauliza asiye na mke, watoto na familia za ukweni au kwake tu...Hela ndogo sana hiyo kama kweli una majukumu ya shule watoto, kula familia, petroli, luku, mboga, mshahara hausigeli, kusaidia ndugu pande zote na mke akiwa na shida zake...Umezipeleka wp hizo pesa mbona mshahara Mkubwa huo
kipato kidogo hicho?We jamaa unakipato kidogo sana kwa mwezi! Upo dar au Sumbawanga? Kwa kipato hicho kama ni demu lazima uliwe kipara!
Zakariaumesema haujui zinapoenda..alaf unasema tena huna hamu na binti..inaonekana ukiwa na pesa kichwa chako cha chini ndicho huwa kina command maamuzi
Mimi nilitaka nimuelekeze ila kwa hii thread nimeishiwa pozi mkuu, sasa sijui nyama pori angenunua kwa hela ganiMkuu mbona umesema tena upo palace hotel arusha unatafuta nyama pori[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] .....
Kumbe umebakiwa na mia mzee [emoji3][emoji3][emoji3]
Ukifika huo wakati na nikawa ktk hayo mazingira naomba Mungu anipe UJASIRIAhsante.usisite kueleza shida yako.
Karibu
Aisee huyu jamaa ni muelewa sana usidharau mtumie no yako atakutoa sisi wanaume hatuna nomana bado mshahara had next week,pole