Usiombe mwanaume uishiwe yaani full stress hapa nina mia tu wakat salary 1,800,000 per month

Utakoma.njoo tulime mboga mboga upunguze stress..hakuna maisha ya raha kama kuzoea kula chakula cha buku na kua na pesa au kutokua nayo.vyote amani tu.afu siku ya kulipia ada ya watoto hua tunajikuta tumeipata utafikili tumetokea kwa TB Joshua.maisha na muziki
 
Dah..... Yaani hauna hata shemeji WA kumpiga Mzinga? Njoo nikikodishe [emoji379] [emoji86] [emoji86] [emoji4]
 
K is sweet but money sweet pass all
 
Mkuu wew mjanja sana, sipati picha wanavyotiririka huko inbox.
 
Haya ndio mambo yanaturudisha sana nyuma..
 
Mkuu washafika wangapi huko PM, kama kuna mafuriko nije kukusaidia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…