Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Eti umemwona mwanamke mrembo anapendeza ukavutiwa naye umtongoze? Basi jua unalolitafuta utalipata.
Soon ukishakuwa naye tu utagundua ana matatizo ya kodi, mtoto au watoto, mzazi wake mgonjwa, anadaiwa. Anahitaji ada mzazi wake ameshindwa ,hana pesa ya matumizi na matatizo mengine kede wa kede.
Sikushauri kabisa utongoze...kutongoza ni kuyatongoza matatizo....yaani umemwona mwanamke mzuri unaenda sasa kuyatafuta matatizo yake ili yawe yako. Unaenda jitafutia matatizo ya bure tu. Bora utafute dada mmoja anayejiuza mzuri. Uonane naye mkamuane umlipe tsh 20,000. Na uchukue namba yake ya simu kuwa ukihitaji huduma utakuwa unamtafuta.
Wapo wachache wanawake wanajielewa. Wengi ni wa kukatisha tamaa sana. Sisi ambao tunataka ku settle tunakutana na changamoto sana.