Usione anatembea amependeza mrembo hivi. Usijaribu kabisa utajuta

Usione anatembea amependeza mrembo hivi. Usijaribu kabisa utajuta

Eti umemwona mwanamke mrembo anapendeza ukavutiwa naye umtongoze? Basi jua unalolitafuta utalipata.

Soon ukishakuwa naye tu utagundua ana matatizo ya kodi, mtoto au watoto, mzazi wake mgonjwa, anadaiwa. Anahitaji ada mzazi wake ameshindwa ,hana pesa ya matumizi na matatizo mengine kede wa kede.

Sikushauri kabisa utongoze...kutongoza ni kuyatongoza matatizo....yaani umemwona mwanamke mzuri unaenda sasa kuyatafuta matatizo yake ili yawe yako. Unaenda jitafutia matatizo ya bure tu. Bora utafute dada mmoja anayejiuza mzuri. Uonane naye mkamuane umlipe tsh 20,000. Na uchukue namba yake ya simu kuwa ukihitaji huduma utakuwa unamtafuta.

Wapo wachache wanawake wanajielewa. Wengi ni wa kukatisha tamaa sana. Sisi ambao tunataka ku settle tunakutana na changamoto sana.

Nacho jua mwanamke kama hakupendi atakuomba hela na atakutafutia sababu tafuta pale unapo pendeka
 
[emoji1787] Huu ndio ukweli unatafutiwa sababu tu ili uachwe

Yah mimi huwa nagundua ujue mwanamke anavutiwa na mwanaume since day one wana meet ila kama hajavutiwa na wewe mkiachana ukituma text ndio unaaza kuambiwa shida zake ili umuache
 
Umenena vyema, wanawake ni tamaa ndo zinawafanya wajidhalilishe bure kuvua pichu ovyo ovyo wakati wameolewa, stress za maisha, hali ngumu ya uchumi inawafanya wajitoe ufahamu.

Yaani hadi huruma, mama fulani anaenda na mtoto wa miaka mitatu ghetto kwa mwanaume na ananyanduliwa mbele ya mwanaye, faida yake elfu tano tu ya kitanzania jamani.
Inasikitisha na kufikirisha sana hii,
 
Mwanamke hiyo ni nature yake, hapo ni kama kujaribu kukimbia majukumu. Muhimu ni kuwa na utaratibu mzuri wa kusaidiana na mwenza wako, isije yakawa unajitoa mazima kumbe mwenzako anakula pesa yako na mwisho wa siku ana kukataa
Unahitaji akili kubwa kung'amua jambo km hilo,
 
Back
Top Bottom