Usione anatembea amependeza mrembo hivi. Usijaribu kabisa utajuta

Usione anatembea amependeza mrembo hivi. Usijaribu kabisa utajuta

Ha ha haaa ..
Ngoja nimtusi mtu hapa.
Mimi ningekuwa na pesa ningeitafuta ya Makiwendo .
Let me send my apology in advance to the above mentioned member. Sijui uchizi gani umenikuta adi nimkosee hivi huyu member.
Ha ha ha....

Hela iwepo hata kidogo basi....isikosekane kabisa....
Pesa ina nafasi yake[emoji2]
 
Mwanamke hiyo ni nature yake, hapo ni kama kujaribu kukimbia majukumu. Muhimu ni kuwa na utaratibu mzuri wa kusaidiana na mwenza wako, isije yakawa unajitoa mazima kumbe mwenzako anakula pesa yako na mwisho wa siku ana kukataa

Adam alikuaga mbahili Hawa akaiba tunda peponi akampa shida ya milele , wapeni wanachotaka hao viumbe maana watawapa shida ya milele mkiwabania bania
 
Mwanamke hiyo ni nature yake, hapo ni kama kujaribu kukimbia majukumu. Muhimu ni kuwa na utaratibu mzuri wa kusaidiana na mwenza wako, isije yakawa unajitoa mazima kumbe mwenzako anakula pesa yako na mwisho wa siku ana kukataa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ankoliiii, punguza sauti.
Watakusikia bhanaa, unaharibu mchongoooo
 
Back
Top Bottom