National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Hayo ni makosa ya mwanaume kwa asilimia kubwa.. Makosa ambayo wengi tunafanya ni kujaribu kuingia kwenye mahusiano na tusio wafahamu.. hiyo ni kosa la kiufundi.. unakuwa kama una bet.. mwanamke anatoka kwenye mazingira yako ( atakufahamu na utakuwa una mfahamu ) hata atapo kubalia anaelewa nani kaamua kuwa nae ndio maana ndoa za kale zilikuwa zinadumu.. nyie mnakuta juu juu mnabebana.. mna bet wote.. vetting muhimu mkuuWengine hadi uje umgundue kashakupiga kilometers za kutosha,