Usione anatembea amependeza mrembo hivi. Usijaribu kabisa utajuta


Nacho jua mwanamke kama hakupendi atakuomba hela na atakutafutia sababu tafuta pale unapo pendeka
 
[emoji1787] Huu ndio ukweli unatafutiwa sababu tu ili uachwe

Yah mimi huwa nagundua ujue mwanamke anavutiwa na mwanaume since day one wana meet ila kama hajavutiwa na wewe mkiachana ukituma text ndio unaaza kuambiwa shida zake ili umuache
 
Inasikitisha na kufikirisha sana hii,
 
Mwanamke hiyo ni nature yake, hapo ni kama kujaribu kukimbia majukumu. Muhimu ni kuwa na utaratibu mzuri wa kusaidiana na mwenza wako, isije yakawa unajitoa mazima kumbe mwenzako anakula pesa yako na mwisho wa siku ana kukataa
Unahitaji akili kubwa kung'amua jambo km hilo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…