Usione anatembea amependeza mrembo hivi. Usijaribu kabisa utajuta

Wengine hadi uje umgundue kashakupiga kilometers za kutosha,
Hayo ni makosa ya mwanaume kwa asilimia kubwa.. Makosa ambayo wengi tunafanya ni kujaribu kuingia kwenye mahusiano na tusio wafahamu.. hiyo ni kosa la kiufundi.. unakuwa kama una bet.. mwanamke anatoka kwenye mazingira yako ( atakufahamu na utakuwa una mfahamu ) hata atapo kubalia anaelewa nani kaamua kuwa nae ndio maana ndoa za kale zilikuwa zinadumu.. nyie mnakuta juu juu mnabebana.. mna bet wote.. vetting muhimu mkuu
 
Mwanamke hiyo ni nature yake, hapo ni kama kujaribu kukimbia majukumu. Muhimu ni kuwa na utaratibu mzuri wa kusaidiana na mwenza wako, isije yakawa unajitoa mazima kumbe mwenzako anakula pesa yako na mwisho wa siku ana kukataa
Hivi mna hakika na na hizi fikra zenu au mnasingizia nature?
Ni wapi nature iliacha pengo kwa jinsia ya kike kiasi kwamba wawe tegemezi?
Jinsia zote zina ubongo
Jinsia zote zina mikono miwili
Jinsia zote zina miguu miwili
Jinsia zote zina macho mawili, masikio mawili, pua, mdomo moyo nk.

Sema mlichonyimwa na nature ili tuwaelewe mbwa nyinyi
 
Pole sana naona yamekukuta mkuu
 
Siku hizi hata uwe na nyimbo kiasi gani kama hutumi miamala,
Utaishia kuota usingizini..

Ili mwanamke akuone ni mwanaume unayefaa ni lazima utume miamala Kwanza.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app

Kimsingi ukitaka demu wa kibongo umteke akili ni mwendo wa tigo pesa tu,na mpeleke sehemu akale vzr atakacho.
 
Mkuu, papuchi tangu zamani za kale haijawahi kuwa bure. Cha msingi ni kutafuta ya levo Yako maama Kila Moja Ina bei yake kulingana na hadhi ya aliyenayo.
Ha ha haaa ..
Ngoja nimtusi mtu hapa.
Mimi ningekuwa na pesa ningeitafuta ya Makiwendo .
Let me send my apology in advance to the above mentioned member. Sijui uchizi gani umenikuta adi nimkosee hivi huyu member.
 
Ndo mana akiipendacho binti
Wahuni tunanunua, na ikifiika mida ya miti
Asije aka zingu-a, bby Deka, Deka baby nikudekeze. To yeye Basi deka, Deka nikudekeze.[emoji1787]
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€ Kwako Mwalimu aseee harmonize in de building......
 
Sio wote watatoa sasa kati ya 10 labda mmoja au wawili afu wakitoa watatu mmoja anakula papuchi.......
 
Ndio siyo hawaa wa vikoba na vyama.
 
Nitaiprint afu naipigia lamination inafaha kwa vizazi vijavyo piaa manake c kwa kuoza kwa hii dunia ya minyanduanoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…