Usipande boda usiemjua usiku mwezenu yamenikuta

Usipande boda usiemjua usiku mwezenu yamenikuta

Nimecheka kama mazuri.... Yalisha nikuta nilijikuta nipo katikati ya mgogoro na mabodaboda kisa sikujibu swali waliloniuliza.... Nilirusha ngumi ikaishia kwenye helmet ya bodaboda na kuumia kidole gumba..... 🤣 Hao watu ukiwa umelewa hawafai..... 🤣
 
Back
Top Bottom