Ha ha aisee wabongo nuksi sana, ni bora umeisemea nafsi yako. Na mimi nasema siwezi kununua gari used hapa bongo na huko show room! Unajua kwa nini...?Sina Ndoto ya kuaguza gari nje wala nini, yaani nina hela zangu mkononi halafu nianze kusubiri gari miezi, nikifa wkt gari ipo njiani je!? Haya tufanye imefika nimetoa mil20 zangu gari siku ya kwanza tu unaamka asbh unakuta wameiba taa, sijui power window nk, kuja kuirudishia tena iingie road gharama, ni heri ninunue mkononi za mil7 mwisho hata wakiiba watajijua, na mradi inatembea mkoa to mkoa
Sure tena Comprehensive ndio mpango mzima.Hahaha ww sema haupo tayari kuspend 20m kwenye gari. Mambo ya kuibiwa insurance si zipo boss.
Kwanini Mkuu?Ha ha aisee wabongo nuksi sana, ni bora umeisemea nafsi yako. Na mimi nasema siwezi kununua gari used hapa bongo na huko show room! Unajua kwa nini...?
Hahahaha [emoji38][emoji38][emoji28][emoji28] sometimes kama hujui kitu ni Bora ukae kimya Tu..
Sure....as long as body iko poa, sitaogopa kununua gari bovu. Hakuna ubovu wa gari usioweza kurekebishika aslong as una fundi mzuri na spare zinapatikana.Upuuzi, sema wanaitaji kuwa makini na sio vinginevyo, nimeagiza magari 7 maishani mwangu, yote nimeuza na niliowauzia wanashukuru mpaka leo.
Nimenunua magari yaliyotumila ma 4 katika maisha yangu na sijajuta,
Cha muhimu:
- Body zuri.
- Spare zipo.
Kumbe hujui kitu
Kaa kimya huna unachojua kuhusu magari, na wala hujawahi kumiliki gari
Gari ya m20 mwaka mzima nadhani ni almost laki saba unakuwa salama.Sure tena Comprehensive ndio mpango mzima.
700k kwa bima ya gari..!!! Hela nyingi sana..!Gari ya m20 mwaka mzima nadhani ni almost laki saba unakuwa salama.
Wingi wa kitu unaupimaje boss. Maana hapo ni umelipa Tsh 1944 kila siku unapotoka na gari ili ikipata ajali ulipwe pesa uliyonunulia gari.700k kwa bima ya gari..!!! Hela nyingi sana..!
Bima yako ya afya kwa mwaka utalipa kiasi gani!!?
utakutana naye mbele za Mungu siku ya hukumu kwa sababu ya kukuficha ukweli 😀This is true 100% ila watu hawaelewi niliuzaga gari yangu baada ya kupata ajali bmw ilianza kunifirisi sijui aliyenunua ana hali gan [emoji23][emoji23][emoji23]
Usidanganye watu mkuu,hiyo ngoma hapo ni C&F value,ngoma ipo kwenye kuichomoa hapo banadarini,inaweza kuwa mara 2 ya hiyo hela,approx.hapo inaweza kufika 20m...
Gari kutembea inahitaji mafuta tuu..Wingi wa kitu unaupimaje boss. Maana hapo ni umelipa Tsh 1944 kila siku unapotoka na gari ili ikipata ajali ulipwe pesa uliyonunulia gari.
Yaani chukulia una M20 kila siku lazima utembee nayo, sasa ili ukiipoteza uipate tena inatakiwa ulipe 1944 kwa siku ikitokea imepotea unapewa m20 ingine.