Gari ni yako boss upo huru kufanya lolote boss.Gari kutembea inahitaji mafuta tuu..
Kulipia 700k kwa mafuta ni sawa.. Kitu certain.. Uhakika.. Probability 1..bila mafuta gari haiendi..
Ila Bima sababu ya kucover ajali sio kitu cha uhakika.. Inaweza kutokea na inaweza isitokee.. Why utumie 700k kwenye kitu cha probability..!!?
Unabet na stake ya 700k!
Nyingi ni zaidi ya 1..
Bima ya gari ikifika 200k ni nyingi..
Lipa 118k kwa ajili ya kutembea barabarani..
Gari yako usitegemee mtu mwingine kuitengeneza..!
Weka mtazamo huo..!
Hahahahahah jamaa kauziwa corrolla ltd ya 1.8M imemtesa anakuja kusumbua watu humu na story za kutunga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Huyu mbuzi mgumu kweli kuelewa leo ndo kaiona beforwad yani ni tabu kweli kweliKaa kimya huna unachojua kuhusu magari, na wala hujawahi kumiliki gari
Hata Mimi nimenunua toka kwa mtu ni mwaka wa pili, kwanza Muuzaji alikuwa na jeuri alinipa gari wiki nzima nitest ninavyotaka kama kuna tatizo lolote nirudishe hata nilipomlipa hela akasema nakupa miezi mitatu tena kama linatatizo nirudishie, wapo watu wanatunza magari mpaka unashangaa huyu mtu alikuwa anaendeshaje gari lake.Same to me..nilinunua gari kwa mtu mpk leo ni mwaka wa pili haijawahi kunisumbua
Sema mkuu tupo kundi la wale wenye bahati[emoji23]
😂😂mkuu mimi sikununua carina iliyokaza nilinunua carina iliyolegea sema nini nadunda sasa hivi na kishoka naweka na usisahau ni no AHahahahah Carina iliokaza ni 7.5M sasa wewe ununue gari 3M si unatafuta balaa.
All things will be well until when notVitu vya kununua used hapa bongo ni friji na Tv
Nakubaliana nawe, kilichonikuta kwenye hii gari ninayotumia sasa najua mwenyewe.Hii nakupa tu ushauri wewe unayetaka kumiliki gari lako na lisikupe mawazo ya kuonana na mafundi Kila siku.
Asilimia 85 ya magari used Tanzania mmliki huuza kwa Sababu gari linamsumbua, asilimia.
Asilimia 10 tu huuza gari kwa Sababu ya changamoto za kimaisha.
Asilimia 5 tu ndiyo huuza gari Ili wanunue gari lingine.
Mbaya zaidi mbongo kusema ukwel ni dhambi kubwa kwake atakwambia hii gari ni kuwasha na kuondoka kumbe yeye anajua shida Iko wap hakwambii.
Ukifika huko unashangaa gar inamatatizo kibao
Nashauri ingiza gar Toka nje kidogo zinakuwa nzima japo ni used, usiogope ushuru kwa Sasa unalipika siyo kuhangaika na gari lililomshinda mwenzako.
Madalali watakuja hapa kupinga huu utafiti wangu lakini mimi Big thinker nimetimiza jukumu langu usije sema sikukwambia
DhambiThis is true 100% ila watu hawaelewi niliuzaga gari yangu baada ya kupata ajali bmw ilianza kunifirisi sijui aliyenunua ana hali gan [emoji23][emoji23][emoji23]
Crown athlete unaipendea nn??Nilinunua IST mkononi mwa mtu toka Jan last year, nimebadili vitu vichache kama break pads, shockup na aircleaner tuu. Imeshakaguliwa gereji mbili tofauti na fundi mwingine mtaani wote wanasema gari haina shida yoyote. Ikifika km laki mbili nitauza. Mambo yakiwa vizuri nitaagiza crown athlete nazipenda balaa
Na baiskeliVitu vya kununua used hapa bongo ni friji na Tv
Crown athlete unaipendea nn??
Kwa hz barabara zetu za mitaan hapa bongo siwez kununua sedan vehicle hata sku moja. Yaan bongo ukiacha tu bara bara kuu tayari unakutana na barabara ina makorongo knoma
Uka katest hadi Manzese au Ngogwa?Upo sahihi kunaa jamaa kahama alinipa kagari kake ni test kumbe amewahi kuanguka nako anatafuta mtu amshikishe